VoA: Lissu aomba Rais Magufuli kufanya maridhiano na wapinzani wake

VoA: Lissu aomba Rais Magufuli kufanya maridhiano na wapinzani wake

Kwa unyenyekevu huku akimwita 'Mheshimiwa Rais Magufuli' na siyo tu kumwita casually Magufuli alivyozoea kumwita
I like the approach! Upinzani siyo uadui and they should not treat themselves like one. Pengine mabalozi walimsema.
Naona mwanzo mpya wa "siasa safi" Tanzania...
 
Km ni kweli Lissu this is wrong move, ungesubiri kwanza joto la Amsterdam na wengine waliotuma malalamishi yao ICC lipoe kwanza
 
Huyu Lissu mimi ni shabiki wake sana lkini ana weaknesses kubwa sana kwenye siasa bado hajaiva, vipi utataka jiwe ajenge maridhiano na upinzani wakati anajuwa fika uchaguzi ulopita matokeo yalipikwa? Kura hazikutumika kutoka vituoni ilikuwa ni boshen tu.

kwanini Lissu hakai kwenye msimamo mmoja tu akaeleweka anataka nini hasa na dunia ikamuelewa kwa mfano:-
1. Chadema walitaka kurudiwa uchaguzi manake ni hakukua na uchaguzi
2. Walitaka jumuiya za kitaifa kuisusia tanzania ikiwa ni pamoja na kuzuiwa safari za nje kwa viongozi wa nchi
3. Yeye kaondoka akitokea hifadhi ya mabalozi akitaka kuuliwa nk.

Vipi katika mazingira haya unamwita Mhe Rais Magufu then una mnyenyekea alete maridhiano kwa upinzani kuongoza katika mamlaka hizi ambazo yeye ni mdau mkubwa kuzilalamikia ni kama vile anasarenda.

Swali. Je sasa anamtambuwa Magufuli kama rais halali?

Ile hoja kwamba yeye alitaka kuuliwa na kwamba amekimbilia balozi na kulazmika kwenda nje ya nchi imeshakufa zamani.

Ni wazi Lissu amekuwa more interested na maisha ya ulaya kuliko watu waliokuwa na matunaini kwake sana kule Tz.

Maalim seif mbona amekuwa tofauti sana na siasa za Lissu? haigi kwake? Kuna siku maalim seif aliukataa mkono wa dr shein akiashiria kutokufurahishwa na haya mambo. Yeye lissu hajulikani yupo wapi.
 
Lissu ameshaelewa kuwa Watanzania
Watanzania hawajampuuzi Lissu bali watanzania ni watu waliojikatia tamaa sababu ya vitisho na Ubabe wa Jiwe na CCM yake.Kumbuka Tanzania kulingana na takwimu za Umoja wa Mataifa ni Moja Kati ya nchi ambazo wananchi wake hawana furaha!
 
Ingia you tube, type DTV Africa
asante, nimeiona na kusikiliza.
Akili ndogo Lumumba wakisikia kuwa amesema maridhiano, eti amesalimu amri, amemkubali Jiwe... and such nonsenses. Matakataka haya yanashindwa kujua alichokisema Lisu ni kitu kinaitwa TRUTH AND RECONCILIATION COMMISSION ambapo kila UOVU utaanikwa mchana kweupe , and then from there wahusika watawajibishwa/watasamehewa vipi na wahanga watafidiwa vipi. From there tunaingia terms za kwamba hili lisitokee tena.... pagumu ni kwa terms.... tume huru za uchaguzi, katiba mpya isiyotoa madaraka ya uflme kama ya sasa and thelike
 
Nimefurahi kuwa umeisikiliza mwenyewe kaka. Lissu is a man with big brain.
 
Lissu ameomba maridhiano wapi?- Sema Lissu ataka maridhiano ya kitaifa, na maridhiano siyo kuombana samahani,maridhiano yanaambatana na reforms za msingi zitkazosababisha mambo yaliyotokea yasitokee tena!.

Msikilize Lissu vizuri hapa:

 
Back
Top Bottom