The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,950
- 12,550
Wewe jamaa you are very hopeless...
Unaandika uongo kwenye maandishi yako na wakati huohuo unatupia kipande cha video kinachosuta uongo wako huo...
Unataka awe addressed vipi hata kama hampendi, kwa sababu "kisheria" huyu ndiye Rais hata kama CREDIBILITY yake ni zero...?
By the way, rudi kwenye swali aliloulizwa. Ulifikiri angejibu vipi? Kisha sikiliza maelezo yake yanayoambatana na "tone" yake mtu atajua kuwa, wewe umevurugwa...!!