EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,086
Kwisha habari yake
Anamaanisha, Vita vya kidemokrasia na mifumo, siyo vita vya bunduki, nyie MATAGA muwe mnaelewa!Anakuwa vitani Halafu anaanza kubweka ohh adui zangu wanataka kuniua
Lisu kajaa utoto utoto mwingi sana
How idiot you are!!asante, nimeiona na kusikiliza.
Akili ndogo Lumumba wakisikia kuwa amesema maridhiano, eti amesalimu amri, amemkubali Jiwe... and such nonsenses. Matakataka haya yanashindwa kujua alichokisema Lisu ni kitu kinaitwa TRUTH AND RECONCILIATION COMMISSION ambapo kila UOVU utaanikwa mchana kweupe , and then from there wahusika watawajibishwa/watasamehewa vipi na wahanga watafidiwa vipi. From there tunaingia terms za kwamba hili lisitokee tena.... pagumu ni kwa terms.... tume huru za uchaguzi, katiba mpya isiyotoa madaraka ya uflme kama ya sasa and thelike
Kumbuka taarifa ya SACP Mambosasa ilitaja waliokuwa wanapanga mbinu za ualifu wakati wa maandamano, haikuwa orodha ya wote walioshiriki press release iliyotangaza maandamano. Akina Mnyika walishiriki press release lakini hakukamatwa. Halima Mdee hakuwa kwenye Press release lakini alikamatwa. Jiongeze.Lissu alikuwepo kwenye press conference iliyotangaza maandamano nchi nzima na aliyaitisha!
Sasa naona huna hoja!
Kumbuka taarifa ya SACP Mambosasa ilitaja waliokuwa wanapanga mbinu za ualifu wakati wa maandamano, haikuwa orodha ya wote walioshiriki press release iliyotangaza maandamano. Akina Mnyika walishiriki press release lakini hakukamatwa. Halima Mdee hakuwa kwenye Press release lakini alikamatwa. Jiongeze.
Hiyo hapo ripoti.Usipende kubishabisha tu:Hakuna takwimu ya UN kuhusu suala la furaha. Ni vitaasisi binafsi tu hivyo. Kama una ushahidi uweke hapa. Hakuna
Mkuu, maridhiano si..kama Wapalestina na Waisraeli wanakaa ktk meza ya maridhiano kuondoa tofauti zao kuna ubaya gani Watanzania tukifanya hivyo?
..Mandela na De Klerk walikaa wakayazungumza. Mugabe na Ian Smith waliandika katiba mpya kwa pamoja. Mifano iko mingi tu.
..Hakuna namna ya kutoka ktk mkwamo huu bila KUZUNGUMZA na kutafuta MARIDHIANO.
Hiyo hapo ripoti.Usipende kubishabisha
Hii siyo report ya UN. Hii ni propaganda tu ya BBC. Hakuna report rasmi ya UN kuhusu vipimo vya furaha ya watu. HakunaHiyo hapo ripoti.Usipende kubishabisha tu:
![]()
Tanzania na Burundi miongoni mwa nchi ambazo raia hawana furaha duniani kwa mujibu wa UN 2018 - BBC News Swahili
Tanzania, Burundi na Rwanda zimeorodheshwa kuwa kati ya nchi zenye watu wasio na furaha duniani katika orodha ya kila mwaka ya Umoja wa Mataifa kuhusu viwango vya furaha duniani.www.bbc.com
Katika mahojiano aliyofanya leo na VOA, Lissu amekiri kuwa Watanzania wamempuuza kwa kutokuandamana pamoja na yeye kutoa wito huo kwa nguvu zote.
Amesema hata kabla ya uchaguzi aliwahimiza watanzania kuwa tayari kuingia barabarani lakini bado haikusaidia, Watanzania walimgomea. Ametulaumu watanzania kuwa hatujawa tayari kwa mabadiliko.
Alipouulizwa akikutana na Rais Magufuli kwa sasa atamwambia ujumbe gani. Kwa unyenyekevu huku akimwita 'Mheshimiwa Rais Magufuli' na siyo tu kumwita casually Magufuli alivyozoea kumwita, Lissu amemwomba akubali kusamehe akitumia neno 'arudi nyuma' na akubali maridhiano na kusema hapendi kutumbukia kwenye shimo. Unaweza kusikiliza mahojiano hayo kupitia VOA ya tarehe ya leo.
View attachment 1626195
My take:
Lissu ameshaelewa kuwa Watanzania wamemshtukia na wanampuuza.
Amesalimu amri na ameanza kulegea na sasa anaanza kulialia na kuomba maridhiano. Kwa mara ya kwanza anaanza kuimba wimbo wa maridhiano.
Tuombe uzima, tutaona upande mwingine wa shilingi kwa huyu Tundu Lissu. Wana CHADEMA bakini na maneo ya akiba, muda si mrefu mtabadilisha majina yenu ya JF na kukimbia jukwaa.
Anashangaza sana, yaani Kenya na uendeshaji wao ovyo wa uchaguzi inayojaa mauaji ya maelfu ndiyo anaitolea mfano wa nchi ya demokrasia. Hiyo ndiyo akili ya Mzee wa mambo ya faragha akiwa kwenye mambo ya faragha Ulaya.Mjinga tu huyu kibaraka. Yeye ndio hana uhuru wala haki ya kupractice ushoga. Uhuru na haki iko tele tanzania ndio maana watu wamemnyima kura na kumpuuza. Eti kenya nchi inayoongoza kwa ufisadi na ukabila ndio wanajidai kuisifu kwa demokrasia kwa kua wao wanachotaka ni kurudisha ile hali ya wachache kufisidi fedha na mali ya umma huku wakilindwa na mahakama zilizojaa ulaji rushwa. Ulaji rushwa mahakamani wao ndio kwao uhuru wa mahakanya. Kenya ambapo demokrasia yao imemuibia mara tatu odinga ushindi wa urais eti ndio mfano wa lissu wa demokrasia. Lissu ni kibaraka mkubwa hadi tumempa jina robot. Aende zake watanzania hawamtaki.
Watamshtukia kila mahali. Dunia imeona alivyokataliwa na watanzania. Hadhi yake imeshuka sana machoni mwa dunia.Ubelgiji nako ameshtukiwa. .......kibarakaView attachment 1626512
Si kaweka audio hapo msikilize mwenyeweHii habari iko wapi wakuu