digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,508
- 23,368
Hizi nyimbo mtaziimba sana hadi kiama ya mwiliKabla ya uchaguzi mlikuwa mnasema tutakimbia hapa jukwaani, uchaguzi umeisha tuko tumejaa tele na hatuna hofu yoyote. Uchaguzi tumeuona, na ushindi wa umwagaji damu na wizi wa kura tumeuona, na hakuna yoyote kashtuka maana tumezidi kuamini kuwa ccm haina tena uwezo wa kushindana kwa njia ya kura. Sasa ni kipi kitatufanya tubadili majina, wakati ccm haina uwezo wa kutushinda kwa kura?