VOA: Zaidi ya Wanajeshi 80 wa Burkina Faso wauawa na Wanajihadi. Rais Traore akimbia Ikulu na kujificha ikihofiwa Uasi wa Jeshi

Hapo kwa jicho la haraka wenye D 2 nadhan mmeshamfahamu anaetusumbua waafrika ni mmarekani yani kila kukicha anatuletea magaidi kuhakikisha hatusimami kwenye njia yetu ila Kuna watu bado wanafanya uchawa kumsifia marekani ....tutumie mawazo yetu vizuri wakuu

#marekani_ni afui_wa_afrika
 
Dogo anamaigizo gani mkuu huoni hayo mambo marekani ndo anatuletea waafrika kila siku Ugaidi... kafanya kosa gani yeye
 
Kwakweli sijajua kwanini unasema Dogo wa maigizo, hivi ni lini Afrika tutapenda vyakwetu? huoni kwamba unatukosea waafrika wenzako? nafikiri ingalikuwa vyema kutafuta njia ya kutafuta ya jinsi ya kutatua matatizo yetu wenyewe? Kumpindua sio suluhisho bali kutafuta njia ya kutatua tatizo kwa kukubaliana wote kwa pamoja ndio njia njema. Tujipende na kulipenda bara letu.
 
Ukiwekwa na Jeshi madarakani ujiandae wakati wo wote kuondolewa na Jeshi.
Harafu mimi kwangu namwona Traure ni kijana mdogo ambaye hayuko matured enough kuongoza nchi.
"Harafu"❌
 
Wagner na Russia ni vya kwenu?
 
Kikwete hakupindua nchi wewe na hakuingia kama mwanajeshi pia
Colonel Gaddaf alikuwana umri wa miaka 27 mwaka 1969 wakati anapindua nchi.
Aliwapa Amri generals kwa miaka mingi sana na walitii.
Hapo tatizo wakoloni wa zamani wanataka vibaraka waendelee kula rasilimali za nchi husika.
Umri au cheo Cha kijeshi siyo tatizo, hizo coup de tat zote zinakuwa staged na external third parties.
 
Colonel Gaddaf alikuwana umri wa miaka 27 mwaka 1969 wakati anapindua nchi.
Aliwapa Amri generals kwa miaka mingi sana na walitii.
Hapo tatizo wakoloni wa zamani wanataka vibaraka waendelee kula rasilimali za nchi husika.
Yuko wapi Sasa 😂😂
 
Basi ni mbinu zao hizo na wameona hawatakiwi tena Wafaransa barani Africa
 
Colonel Gaddaf alikuwana umri wa miaka 27 mwaka 1969 wakati anapindua nchi.
Aliwapa Amri generals kwa miaka mingi sana na walitii.
Hapo tatizo wakoloni wa zamani wanataka vibaraka waendelee kula rasilimali za nchi husika.
Sijui hata nani tumwamini ktk hizi tawala za Afrika.
 
Huyatazami mambo kwa upana wake,Mali,Burkina Faso,niger nk wametimua mabeberu,huko Kuna uranium,gas,mafuta,dhahabu,Mali mwanzo walipowatimua wafaransa,mfaransa akawapa silaha watuareg,wakateka nchi kubakiza huko Bamako,Mali akamrudisha mfaransa,tuareg wakapotezwa na nchi yao mpya ya az zawad,Sasa hizo nchi zimemkumbatia mrusi,ghafla magaidi wa kijihadi Wana nguvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…