VOA: Zaidi ya Wanajeshi 80 wa Burkina Faso wauawa na Wanajihadi. Rais Traore akimbia Ikulu na kujificha ikihofiwa Uasi wa Jeshi

Sasa unavyosikitika kusoma kauli ya ChoiceVariable kwa madai kwamba anamuona mzungu ni bora kuliko yeye, kwani unadjani ukiukataa ukweli ndiyo wewe utakuwa bora?
Wabukinabe wenyewe wamevunja mahisiano na West wameenda kujiweka upsnde wa Russia, au Russia siyo Wazungu?
 
Acha kabisa ni kudunguana tu yote hii ni kwaajili ya mali iliyopo ardhini. Watu wana kufa na kuangamia kwa manufaa ya mabeberu.
 
Na huyu jamaa aliwatimua wazungu nchini kwake sidhani kama watamwacha salama kwakweli duh!
Wana hila sana hawa
Na wanaangalia maslahi yao tu
Watamuweka kibaraka wao hata kama hataonyesha yuko upande wao
 
Mkubwa ngozi nyeusi wanafki sanaaaaa kaa nao mbali alikuwepo Magu hapa alitukanwa mpaka amekuja mam kizimkazi wale wale wanasema bora Magu achana nao kabisa hawa
 
Wana hila sana hawa
Na wanaangalia maslahi yao tu
Watamuweka kibaraka wao hata kama hataonyesha yuko upande wao
Kabisa na wtayaponda yote aliyo wafanyia wananchi wake hata kama yalikuwa na manufaa kiasi gani, kwakweli uwezo wa kujiamulia sisi ni mdogo sana maana bei na thamani ya mali tulizo nazo zinapangwa na wakubwa huko juu sisi tunabakia watazamaji na wasikilizaji wa kusibiria amri toka kwao. Nikikumbuka Tumbaku ya Zimbabwe ilivyokuwa na thamani kwa masoko ya nnje duh!
 
Burkina fasso ni kama Ilivyo Sudan, the county is so big and multi ethnic... Only Tanzania Ndio hili jambo limewezekana kwa Africa.
 
Well said
 
Unashangaa Unasemaje Kwa Tanzania ambapi unakuta Raisi raja hajawahi kanyaga hata mgambo lakini ndie amiri jeshi mkuu anaamrisha hadi magenerali WA Jeshi sembuse huyo captain
Kuna tofauti kubwa sana kati ya Rais kuwa Amiri jeshi na mapinduzi boss
Mbona mifano miwili tofauti
Wa kwetu hajui lolote kuhusu amri za kijeshi ila tuna mkuu wa majeshi ndio maana alipokufa Rais, mkuu wa majeshi ndio alisimamia zoezi na sio mwingine
Haya mawili ni tofauti kabisa
 
Ni kweli mkuu kama sakata la sukari pia kwetu
Lingekuwa kubwa na vurugu ila kwa Ujamaa wetu hatuna la kufanya
Ubepari mbaya sana
 
ugaidi ni swala mtambuka,US alibamizwa na magaidi ndani ya New York City september 11.
Nchi za west Africa mapinduzi ni zimwi linalowaandama kwa muda mrefu sana.
 
Nimeogopa sana mtu mjinga kama wewe ukikutana na wasiojua na unaongea kwa kujiamini kabisa.

1. Kusema kuna vikundi vinafadhiliwa na Iran, huu uongo mkubwa, hao jihadist ni suni na wana mlengo tofauti na Iran

2. Kuiweka iran na uingeraza et wananunua madini wote ni uongo.
3. Chombo cha habari cha iran ni press tv, aljazeera kinamilikiwa na Qatar.

nyie ndio wajinga mliozeeka mlojaa chuki af mwajiona manajua. Pumbaf kabisa
 
Si ndiyo tukajazwa kwenye ujamaa na umasikini uliotopea
Gaddaf alikuwa miaka 27 aliwaletea ujamaa na umasikini walibya?
Kuna nchi tofauti na South Africa(SA) ilikuwa na maendeleo kuliko Libya?
SA yenyewe wananchi wake hawakupata huduma za kijamii wote kama wa Libya.
China na Russia walikuwa wajamaa walipataje maendeleo hadi walikuja kuwajengea vyuo, reli, n.k. Sisi ilikuwaje ukatudhuru ujamaa peke yetu?
Sababu ya uvivu wetu na kukafuta sababu za kujitetea uzembe wetu Kama hizi zako. Lame excuses!!!
 
Ujamaa ni chachu ya umasikini,unaviza jitihada na kuficha wavivu kwenye kundi la wengi, ujamaa unazuwia ubunifu,vijiji vya ujamaa vya Nyerere viliirudisha jamii nyuma kimaendeleo,ikapunguza hata uzalishaji wa chakula,hivi tukiwauliza wafia ujamaa,lengo la ujamaa lilikua ni nini,mnaweza kusema!?..china imepiga hatua kipindi gani,Cha ujamaa au baada ya Deng kufanya reforms na kuachana na taboos za kijamaa?!..Afrika kusini haiwezi kuwa mfano wa kutetea ujamaa,na sababu ni dhahiri,na hata wakati huo wa ubaguzi,bado walikua mbele sawa tu au zaidi ya nchi za ulaya hata kisayansi na tech
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…