Ferruccio Lamborghini
JF-Expert Member
- Apr 15, 2020
- 1,667
- 2,595
- Thread starter
- #21
Wanayumba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli, Vodacom mnakera sana ndio maana nimewahama"Umefikia kikomo au umesitisha malipo ya kadri umavyotumia.
Tafadhali jiunge na bando lingine au ruhusu matumizi. Piga *149*01#>8 - Huduma Xtra> Matumizi Bila Bando."
Huu ujumbe wenu unakera mno. Yaani mnatuma ujumbe saa 7 z usiku mara saa 8 usiku mara saa 9 usiku mara saa 10 alfajiri yaani mpaka kero.
Mnazingua sana kwani mkituma mara moja mnakufa?
Meseji kila muda kila saa mtadhani mnatudai.