"Umefikia kikomo au umesitisha malipo ya kadri umavyotumia.
Tafadhali jiunge na bando lingine au ruhusu matumizi. Piga *149*01#>8 - Huduma Xtra> Matumizi Bila Bando."
Huu ujumbe wenu unakera mno. Yaani mnatuma ujumbe saa 7 z usiku mara saa 8 usiku mara saa 9 usiku mara saa 10 alfajiri yaani mpaka kero.
Mnazingua sana kwani mkituma mara moja mnakufa?
Meseji kila muda kila saa mtadhani mnatudai.