Vodacom Kulikoni? TCRA hebu tuokoeni na hizi gharama za Data

kweli kabisa wenyewe hua hawachukui chao kama umeunga mapema kabla ya kuisha muda.
 

"Convert Sms into Mb's "
 
kweli kabisa wenyewe hua hawachukui chao kama umeunga mapema kabla ya kuisha muda.
Hata kama muda umeisha zilizobaki zinakuwa domant(inactive) kwa sababu zipo nje ya muda wa matumizi na kwenye salio zinaonekana hamna ila utakaponunua zingine zinajumlishwa zinakuwa active tena na zitatumika kwa muda wa bando jipya kutumika
 
Hata kama muda umeisha zilizobaki zinakuwa domant(inactive) kwa sababu zipo nje ya muda wa matumizi na kwenye salio zinaonekana hamna ila utakaponunua zingine zinajumlisha zinakuwa active tena na zitatumika kwa muda wa bando jipya kutumika
ila voda sasa.......🤣🤣🤣
 
Kuna mdau mmoja humu JF alisema kama Wameshindwa kuweka sawa swala la Mafuta ya kula lianalomgusa kila mtu hata wa chini ndo waje wafatilie mambo ya data?

Sidhan wamekurupuka, Walianza tigo wamekuja Voda wanakuja Airtel na mitandao mingine... Nachotambua mitandao yote hufanya kitu kimoja ila utofauti huja pale kwenye idadi ya wateja kwmba mwenye wateja wachache atajitaidi kuvutia wengine. Kwahiyo tigo walikuwa kama waliamsha dude wakiwacheka wanaojidai kuhama wakati kibano kina husu mitandao yote
 
Halotel sihami
Halotel pia waduwanzi kichizi. Royal bundle walikuwa wanatoa 4Gb plus 2Gb bonus ikiwa na speed kali. Ukimaliza hizo, wanaaza kukupa 500Mb daily kwa speed ya kawaida hadi mwezi unaisha. Ila sasa hivi wanatoa 7Gb tu, after that bundle linakata.

Pia upande wa dakika kwa royal bundle wamepunguza pia.

Ukija vifurushi vya usiku pia ni vile vile tu. Wanafanya badariko, ila wanayaita maboresho.
 
TCRA wakusaidie kufanya nini? Kwani bei za vifurushi kwenye mitandao ya simu zinapangwa na TCRA?

Umeshawahi kusoma terms and conditions za watoa huduma ukaelewa wanachoeleza kuhusu hivyo vifurushi?
 
Mimi nilikuwa nanunua dk600(mitandao yote) na 7GB kwa mwezi @30,000, jana nimenunua dk3000(mitandao yote) na 12 GB kwa mwezi@30,000 hiyo hiyo.
 
Hapo ni kwa pande zote, ingawa nimetaja MB mwanzoni halafu nikatolea mfano SMS.

Maelezo niliyoelezea sms, ni sawa na nikitaka kuelezea MB.

Muda si mrefu hata zile mb's wanazotoa kwa free basic data zitatoweka muda si mrefu.
 
Nchi inakusanya mapato kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…