Hata mimi ni hivyo hivyo, lasivyo ningeshatupilia mbali li-line lao maana msg zao za matangazo zimenichosha hatari.Mi pia ni line ya miamala [emoji23][emoji23][emoji23] na ni vile hela zinatoka nje ya nchi ila za hapa hapa ndani ningeua line kabisa ya hawa masheitwani[emoji13]
Kila saa Songesha, mara sijui Voda taarifa yani nimejiwekea timming kila saa 4 asubuhi nafuta mamesej yao inbox.Hata mimi ni hivyo hivyo, lasivyo ningeshatupilia mbali li-line lao maana msg zao za matangazo zimenichosha hatari.
Na Airtel nao wamepandisha kuanzia leo daah hatari wanatupiga kweliNilizoea kujiunga Vifurushi vya aina mbili vya wiki 2Gb kwa Tsh.3,000/= au 4Gb kwa Tsh.5,000/= Leo nimekutana na hali tofauti, 1Gb kwa 3,000/= na 2GB kwa 5,000/= kwa kweli nimechanganyikiwa kidogo hasa ukiangalia hali tunayoipitia mtaani.
Mbona hii mitandao imekuwa na upandishaji wa gharama kiholela tu? Huku tunakokwenda sio kuzuri jamani.
Hebu TCRA ingilieni kati na Mamlaka za kulinda haki za wateja.
Mie wana kamtindo ka kunitumia msg 6 kila asubuhi za kifurushi changu kuisha mara sina salio. Sasa najiuliza ni kifurushi gani hicho maana sijajiunga na kifurushi chochote nafikiri miezi 8 inafika[emoji2297][emoji2297]Kila saa Songesha, mara sijui Voda taarifa yani nimejiwekea timming kila saa 4 asubuhi nafuta mamesej yao inbox.
Huo ujumbe wa "you can no longer make calls huwa unakuja kila nikizima na kuwasha simu" sasa sijui wanazungumzia kifurushi gani maana mi pia sijawahi unga dakika wala smsMie wana kamtindo ka kunitumia msg 6 kila asubuhi za kifurushi changu kuisha mara sina salio. Sasa najiuliza ni kifurushi gani hicho maana sijajiunga na kifurushi chochote nafikiri miezi 8 inafika[emoji2297][emoji2297]
Wanakera basi tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unakumbushwa kwa lazima.Huo ujumbe wa "you can no longer make calls huwa unakuja kila nikizima na kuwasha simu" sasa sijui wanazungumzia kifurushi gani maana mi pia sijawahi unga dakika wala sms
Wapuuzi kweli, Tigo wao walinifungia kabisa baada ya kuwafanyia hili jambo la kuwasusia nikawa napokelea simu tu π[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unakumbushwa kwa lazima.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wapuuzi kweli, Tigo wao walinifungia kabisa baada ya kuwafanyia hili jambo la kuwasusia nikawa napokelea simu tu [emoji23]
Hahahahah Tigo, Voda na Halotel ni 3 Musketeers! jiandae na bomu litakaloelekezwa huko huko Halotel.Nimetoka tiGo kwa kikimbia utapeli kama huo wanatuuzia 1gb kwa sh 3000/=nimeapa sirudi tiGo tena niko zangu Halotel 1gb kwa sh 1000/=
Kama mm tu alafu jana wamenipa offer 500mb/week, advertisement Kama zote.nailinda sababu sehem nyingi za kazi , temporary na permanent contact niliweka vodaMie voda imebaki ya kupokelea hela tu.
Naona wameamua kuigeuza line yangu ya matangazo maana kila wakati ni msg tu za matangazo yao.
Eeh baada ya muda utashangaa tu No Service! Ujue tayari washafanya yao ila ukienda Mlimani City pale wanakufungulia chap.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aaah!! Kumbe ukiisusia wanafunga!!
Mie afadhali huwa naandika halotel, maana voda wizi hawajaanza leo.Kama mm tu alafu jana wamenipa offer 500mb/week, advertisement Kama zote.nailinda sababu sehem nyingi za kazi , temporary na permanent contact niliweka voda
Oooh!! Kama wanafungua basi hamna mbaya.Eeh baada ya muda utashangaa tu No Service! Ujue tayari washafanya yao ila ukienda Mlimani City pale wanakufungulia chap.
πππHahahah kule wakigusa tutaandamana. Wafanye vurugu zao huku ila kule wasiguse kabisaa.
Ile ni emergency door ya wanyonge kuingilia JF πππ
Hili limekuwa janga la kitaifa...Wewe uko kwenye 0.0001% ya wateja wanaonufaika na wizi wa data Voda.