So vifurushi tu, juzi nilitoa 5,000 mpesa nikakatwa 950 badala ya 800 ya siku zoteNilizoea kujiunga Vifurushi vya aina mbili vya wiki 2Gb kwa Tsh.3,000/= au 4Gb kwa Tsh.5,000/= Leo nimekutana na hali tofauti, 1Gb kwa 3,000/= na 2GB kwa 5,000/= kwa kweli nimechanganyikiwa kidogo hasa ukiangalia hali tunayoipitia mtaani.
Mbona hii mitandao imekuwa na upandishaji wa gharama kiholela tu? Huku tunakokwenda sio kuzuri jamani.
Hebu TCRA ingilieni kati na Mamlaka za kulinda haki za wateja.
Wao wamepigwa mafain mengi ya ghafla ghafla sasa kufidia lile gap lazma wawaibie sanaHili limekuwa janga la kitaifa...
Au ukute nawao wameongezewa gharama kwenye mkongo wa taifa wa TTCL
Wifi inatumia net ya mawinguni eehhhee? Na tuwe tunashinda majumbani 25/7 ehee? Au kubrowse iwe ni tukirudi nyumani tu ehee?Fungeni wifi nyumbani kwenu
Basi sawa yakheee!!! Twende tukale urojooo sasa eheee!!!Eheeeee
Mkuu aliwaambieni kuwa awamu hii HAKUNA RAHA , hata yeye HAPATI RAHANilizoea kujiunga Vifurushi vya aina mbili vya wiki 2Gb kwa Tsh.3,000/= au 4Gb kwa Tsh.5,000/= Leo nimekutana na hali tofauti, 1Gb kwa 3,000/= na 2GB kwa 5,000/= kwa kweli nimechanganyikiwa kidogo hasa ukiangalia hali tunayoipitia mtaani.
Mbona hii mitandao imekuwa na upandishaji wa gharama kiholela tu? Huku tunakokwenda sio kuzuri jamani.
Hebu TCRA ingilieni kati na Mamlaka za kulinda haki za wateja.
Nimenunua juzi GB10 cha 10,000 leo imekata hiyo ndo haifai kabisaHalotel sihami
Tumeshawaonya sana hamsikii!Aiseee nimestaajabu sana, Internet ishakuwa anasa siku hizi, kweli tumetoka mtu kununua 1GB kwa 1000 hadi 1GB kwa 3,000 hii hali sio
Nchi inakusanya mapato kwanza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wamegeuka wadangaji wa kimawasiliano [emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi mnaotumia Airtel internet huwa mnaitoa wapi ?Airtel zile MB 500 zinakata fasta unaweza hisi simu ina tobo mpaka kuna muda najisachi mfukoni kuangalia huenda zilidondokea mfukoni.
Bora 1GB na kuendelea zinavumilia...
Mkuu hawa zantel wapoje kwenye internet maana hawa wengine sio kwaajili yetu wanyongeHahahahah halotel toka walivyojifunza wizi kwa tigo nilikimbilia Zantel na sijutii, mwaka wa 3 huu!
Kwani kazi yao kusaka tu wafanya, makosa mitandaoni??nani sasa anamuokoa hapa
Sasa TCRA watakusaidiaje wakati hizo gharama zilizopanda zinakwenda kwao? Wewe hujui SGR na Stieglers mambo yamedodaNilizoea kujiunga Vifurushi vya aina mbili vya wiki 2Gb kwa Tsh.3,000/= au 4Gb kwa Tsh.5,000/= Leo nimekutana na hali tofauti, 1Gb kwa 3,000/= na 2GB kwa 5,000/= kwa kweli nimechanganyikiwa kidogo hasa ukiangalia hali tunayoipitia mtaani.
Mbona hii mitandao imekuwa na upandishaji wa gharama kiholela tu? Huku tunakokwenda sio kuzuri jamani.
Hebu TCRA ingilieni kati na Mamlaka za kulinda haki za wateja.
Voda wqnasema waneboresha huduma na hiyo ndio gharama ya maboresho!? Hawa ni majambaxi kama majambazi mengine tu! Haiwezekani kupandisha bei ya vifurushi kwa zaidi ya asilimia 300!Nilizoea kujiunga Vifurushi vya aina mbili vya wiki 2Gb kwa Tsh.3,000/= au 4Gb kwa Tsh.5,000/= Leo nimekutana na hali tofauti, 1Gb kwa 3,000/= na 2GB kwa 5,000/= kwa kweli nimechanganyikiwa kidogo hasa ukiangalia hali tunayoipitia mtaani.
Mbona hii mitandao imekuwa na upandishaji wa gharama kiholela tu? Huku tunakokwenda sio kuzuri jamani.
Hebu TCRA ingilieni kati na Mamlaka za kulinda haki za wateja.