Vodacom: Mamilioni wameacha kutumia M-Mpesa hasa vijijini, ni hatari kwa biashara yetu

Vodacom: Mamilioni wameacha kutumia M-Mpesa hasa vijijini, ni hatari kwa biashara yetu

Mama si amekwisha sema kwambaaa mabadiliko yatafanywaa amaa niliona uongo........anaupiga mwingi sanaaa mpaka nje ya uwanja sasa
 
Main duty ya voda and other telecom comoanies ni kufacilitate mawasiliano na sio kutuma pesa,a pumzike huko
 
Mimi mwenyewe leo nimetuma kwa mbinde kwa sababu ilikuwa ni urgent
 
Wako bize kuilalamikia Serikali,mbona wao hawapunguzi kiwango chamakato ktk miamala yetu?...Bora kuscha tu kutumia hizi huduma nakupeleka Hela benki
 
Wangeanza kidogo kidogo, watu wasingelalamika
Wangeanza na kujazia mfano,mtu akikatwa 1,850 na mtandao,wao waongeze 150.
Mtu akikatwa 465 na mtandao,wao wakate 35.
Mtu akikatwa 8500 na mtandao,wao wakate 1,500 nk.

Hii ingesaidia sana. Kuliko kukata mihela yote hiyo.
Mbona kwenye mafuta wanakata 100 tu na hakuna malalamiko. Huku unamtumia mzazi 25,000 wao wanamla 960 bado makakato ya mtandao.
 
Mwigulu ile wizara aimfit,kwa aibu anayoipata iwapo angekua muelewa angejiuzulu tu
 
Back
Top Bottom