Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Nani mjinga wa kutuma pesa kwa haya makato ya kijinga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na bado !Vijijini hawataki ujinga🤣🤣🤣
View attachment 1859803
Nchi inaendeshwa kibabe na hawa wajingaWangewashirikisha hao Watoa Huduma wala tusingefika huku.
Mwigulu Bado anandoto za urais so anajaribu kumharibia mama bila kujua anajiharibia piaKosa kubwa la Rais na wasaidizi wake ni kufanya maamuzi bila kutafiti na kuwashirikisha wadau kuwa waelewe wanataka kukatwa nini na kwa ajili ya nini.
Mama alisema anajenga mazingira rafiki yanayotabirika kwa wawekezaji, siyo leo unalala huku kesho unaamkia kule. Kinachotokea sidhani kama kinavutia wawekezaji. Serikali hapati hasara lakin wawekezaji kuna wakati wanaumia sababu ya mabadailiko haya ya kustukiza na makubwa.
Zungu alishauri vyema sana, kukatwa sh 50 tu.Kosa kubwa la Rais na wasaidizi wake ni kufanya maamuzi bila kutafiti na kuwashirikisha wadau kuwa waelewe wanataka kukatwa nini na kwa ajili ya nini.
Mama alisema anajenga mazingira rafiki yanayotabirika kwa wawekezaji, siyo leo unalala huku kesho unaamkia kule. Kinachotokea sidhani kama kinavutia wawekezaji. Serikali hapati hasara lakin wawekezaji kuna wakati wanaumia sababu ya mabadailiko haya ya kustukiza na makubwa.
Good, CCM ni shetaniKuna rafiki yangu alitaka nimkopeshe hela ndogo. Nimegoma kumtumia mpaka alipokuja kuitwaa kwa mkono wala hakuwa mbali. Kuna hela naidai naenda keshokutwa kuifuata, ni mgomo nimeweka siwezi tuma au kupokea hela within 10km, si ni bora hiyo 2000 nimlipe bodaboda nimuongezee mzunguko kwa wajasiriamali kuliko niwape CCM na mademu zao
wao wenyewe hawatumi pesa wala kupokeaCcm hawajawahi kutumiaga akili hata siku moja