Vodacom: Mamilioni wameacha kutumia M-Mpesa hasa vijijini, ni hatari kwa biashara yetu

kwa hiyo suala la tozo limegoma kuzoeleka mpaka baadhi ya watu wameamua kuacha kutumia
Siyo baadhi wengi tumeacha kutumia tumehamia bank tu,acha waparurane waje kuamka sisi tuko mbali.
 
CCM tunaupiga mwingi. Bunge limepitisha sheria kisha Mama akasaini. Wananchi wamegomea sasa inabidi bunge liitwe kwa dharura lifute hiyo sheria.
Mwigulu na Majaliwa wakifuta hiyo sheria bila kuitisha bunge tutajua hatuna bunge bali kikao cha wa.huni!
Hakuna kuitisha bunge hapo kwa vile sheria haifutwi ila waziri abadilishe kanuni na shedule ya viwango zipungue. Basi tuendelee kuchangia kidogo kidogo.
 
wanakwambia watazoea tu na mambo yatakuwa kama kawaida [emoji3]
 
Na bado
 
T
Tukikomaa ama tukisusia pia na wao wanapunguza pia yaani Bei ya makato hao wa mitandao pia.
Mana wao wameshabuni tayari program wamekaa tu wanakula.
Ila nachowahurumia ni mawakala wanalipwa pesa kiduchu kinouma muda si muda na wao wataanza kuisusia Kama hao voda wanajiona ni super star ama ni elite society. Ama Kama wao walitangulia kusoma na huku wengine wakicheza ngoma na kuchunga
 
Tatizo sheria zetu huwa mtu anaamka na kufanya anachotaka

Uchumi my black @“₩
Mbona wenye akili huwa wanaongeza vijisenti tu na ukiwa ni mpango wa miaka kadhaa?

Sasa tamaa za kupata mattilioni kwa mkupuo zinawatokea puani

Mara nyingine wawe Wanaiga mataifa makubwa maana akili zao pekee hazisaidii
 
Mzanzibari halipi Kodi kandamizi ya Tanganyika .Mzanzibari kugharamia ujenzi wa madarasa Tanganyika siyo haki.
 
Mwigulu hapaswi kuwepo kwenye ofisi yoyote ya Umma
 
Hata hivo wanainchi niwa hovyo sana ikiifika uchaguzi hawafanyi maamzi sahihi wanaichagua tena ccm yaani wanachagua jambazi ndio awe mlinzi wa get dadeq
Tangu nchi iingie kwenye mfumo wa vyama vingi Ccm hawajawahi kushinda uchaguzi kwa HAKI, na hawatakaa washinde kwa Haki
 
Huyu waziri wa Fedha hata Hekima Hana hivo kumpa hii wizara ni kumtafutia matatizo .Kwahilo anafaa kubebe lawama ni aliemteua .
 
Anzisha kampuni yako
 
Hata hivo wanainchi niwa hovyo sana ikiifika uchaguzi hawafanyi maamzi sahihi wanaichagua tena ccm yaani wanachagua jambazi ndio awe mlinzi wa get dadeq
Et wanawaenzi wahenga waliosema "mchawi mpe mtoto akulelee" wanasahau kuwa anaweza kumla nyama na ukoswe wakukusaidia
 
PhD za wanasiasa walio madarakani tena walizozipata katika vyuo vya ndani, zote zinawalakini.

Ben alihoji akapotea/potezwa
PII HECHI DIII ya Madelu nishaifuta rasmi...niya kimatangonpori..pori

Yaani Vodacom kawekeza kiasi kile ila wewe unamzidi hadi aliyewekeza...Madelu wewe ni mnomaa...!!
 
Kama vile kuna ukwel flan hiv ila umefikiria kuhusu gharama ya kukutunzia pesa zako?
Kwenye ela unayo katwa Tsh 1450 unajua kuwa kuna VAT?
Kumbuka hawana makato ya kila mwaka kama mabenk unaisi wao watanufaikaje? Unafaham kuwa nao wapo chin ya BOT kuna ada wanayo ilipia huko pia.
 
Hilo suala liko wazi, hakuna mtu wa hali ya chini atathubutu kuweka hela yake mpesa achilia mbali kutuma.
Do we have many options though? Nafikiri wapunguze mapato. Bank hazifiki vijijini. Mobile money bado ndio muarobaini wa kutuma pesa vijijini
 
Kama vile kuna ukwel flan hiv ila umefikiria kuhusu gharama ya kukutunzia pesa zako?
Kwenye ela unayo katwa unajua kuwa humo ndani kuna VAT?
Kumbuka hawana makato ya kila mwaka kama mabenk unaisi wao watanufaikaje? Unafaham kuwa nao wapo chin ya BOT kuna ada wanayo ilipia huko pia.
 
Do we have many options though? Nafikiri wapunguze mapato. Bank hazifiki vijijini. Mobile money bado ndio muarobaini wa kutuma pesa vijijini
Yah wapunguze hizo tozo, kwa namna zilivyowekwa ni kama adhabu...
Leo nimetuma 45k.. ada ya Mpesa 450 then tozo 1500, imagine tozo ni mara tatu ya ada ya mtoa huduma ambayo ndani yake ni VAT, sasa huu kama sio uporaji ni kitu gani tuite?
 
Hao Vodacom ni wapumbavu kwamba wao tuu ndio mtandao ambao watu wamekimbia?

Pili kwenye kila muamala makato wanayochukua kampuni za simu ni makubwa kuliko tozo za serikali,mbona wao hawatazami upya makato yao?

Mwisho hili likampuni limekuwa linaiba vifurushi na dkk zetu afu kampuni lenyewe Lina mavifurushi bei juu na tumekimbia kutumia kampuni hiyo afu saizi wanasingizia tozo, pumbavu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…