VODACOM naomba mnisaidie kwanini Mb zangu zinakwisha Haraka pasipo matumizi utafikiri kuna jini linakula?

Namuungaje wakati sina hata shilling 50?
Btw Lucas hana njaa kama mnavyofikiria
Heri kutoa kuliko kupokea, ukimuunga sio kwamba ana njaa, la hasha. Inakua katika kutekeleza kupata baraka kupitia utoaji.

Kingine, maneno huumba. Jizoeshe kujitamkia maneno mazuri. Mambo ya kusema hauna hata 50 sio mazuri.

Basi ntamuunga kwa niaba Yako wewe toa idhini tu.
 
Nasema kuwa siwekagi bando la jero bali niliweka kuangalia hali hiyo ya mabadiliko ya ghafla.sasa wewe umeona hali isiyo ya kawaida unaanzaje kujiunga bando la bei kubwa kabla ya kupata ufumbuzi na majibu?
Akili za kiccm hzi .wewe ni mjinga tuu na uko ccm unatumika TU kwa maslai ya mabwana zako ..mbaya zaid hawakulambishi asali upo upo tuu.. idiot
 
Asante the Monk! Umenikumbusha kitu cha muhimu sana, kujinenea mema
Nimekupa ruhusa kuhusu Lucas
 
Cc. MWIGULU NCHEMBA, NAPE NAUYE, NDUMBARO
 
Siishi kwa kutegemea fadhila za kulipwa mimi na wala sipo humu jukwaani kwa ajili ya kumtumikia mtu yeyote yule.nipo humu na kuandika niandikayo kwa kuchochea na uzalendo pamoja na kusimamia UKWELI tu,hata kama unakuwa ni mchungu kwa baadhi ya watu
 
Kwanini unajiunga GB za kimasikini Lucas Mwashambwa wakati wenzio chawa wanakula shushu, why GB 1 ? Inamaana hata Mwijaku na doto magari wamekuzidi Lucas Mwashambwa, 🤣. Kwanini unakaribisha umasikini in your life L. M?
Mimi siyo chawa
 
Siishi kwa kutegemea fadhila za kulipwa mimi na wala sipo humu jukwaani kwa ajili ya kumtumikia mtu yeyote yule.nipo humu na kuandika niandikayo kwa kuchochea na uzalendo pamoja na kusimamia UKWELI tu,hata kama unakuwa ni mchungu kwa baadhi ya watu
Lucas Achana nao hao! Wewe ndiye unajijua kuliko mtu yeyote, malengo na matamanio yako unayajua wewe
Fanya kinachokupa furaha muhimu hauvunji sheria
Mimi namuomba Mungu akupe kila unachokitamani, ndoto zako zikawe kweli na wewe uziishi.
 
Zinaenda kwenye mfuko wa CCM. Kaa kwa kutulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…