The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
Muunge kwanza hata kifurushi cha jero tu. Hayo ya Mbinguni yatajisumbukia yenyeweYesu akirudi sasa hivi halafu akisema wenye kuanzia shilling 50 wanaenda Mbinguni, mimi mtaniacha😂🤸
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muunge kwanza hata kifurushi cha jero tu. Hayo ya Mbinguni yatajisumbukia yenyeweYesu akirudi sasa hivi halafu akisema wenye kuanzia shilling 50 wanaenda Mbinguni, mimi mtaniacha😂🤸
Namuungaje wakati sina hata shilling 50?Muunge kwanza hata kifurushi cha jero tu. Hayo ya Mbinguni yatajisumbukia yenyewe
Hii si ni offer na offer yake si ipo kwenye kipindi maalumu?Sajili line ya halotel buku 2 GB 2.5 wiki itakusaidia
Sijajua kwa kweliHii si ni offer na offer yake si ipo kwenye kipindi maalumu?
Heri kutoa kuliko kupokea, ukimuunga sio kwamba ana njaa, la hasha. Inakua katika kutekeleza kupata baraka kupitia utoaji.Namuungaje wakati sina hata shilling 50?
Btw Lucas hana njaa kama mnavyofikiria
Hakika wewe sio mtu mzuri...Sajili line ya halotel buku 2 GB 2.5 wiki itakusaidia
Akili za kiccm hzi .wewe ni mjinga tuu na uko ccm unatumika TU kwa maslai ya mabwana zako ..mbaya zaid hawakulambishi asali upo upo tuu.. idiotNasema kuwa siwekagi bando la jero bali niliweka kuangalia hali hiyo ya mabadiliko ya ghafla.sasa wewe umeona hali isiyo ya kawaida unaanzaje kujiunga bando la bei kubwa kabla ya kupata ufumbuzi na majibu?
Asante the Monk! Umenikumbusha kitu cha muhimu sana, kujinenea memaHeri kutoa kuliko kupokea, ukimuunga sio kwamba ana njaa, la hasha. Inakua katika kutekeleza kupata baraka kupitia utoaji.
Kingine, maneno huumba. Jizoeshe kujitamkia maneno mazuri. Mambo ya kusema hauna hata 50 sio mazuri.
Basi ntamuunga kwa niaba Yako wewe toa idhini tu.
Ningempa ushauri gani sasa?Hakika wewe sio mtu mzuri...
Cc. MWIGULU NCHEMBA, NAPE NAUYE, NDUMBARONdugu zangu Watanzania,
Mimi ni mtumiaji na mteja wa miaka mingi wa mtandao wa voda ,lakini Haijawahi kutokea na sijawahi kushuhudia hali hii katika simu yangu ya ulaji wa mb utafikiri kuna jini limepiga kambi kula mb zangu. Hali hii imejitokeza tangia jana jioni ambapo nilikuwa na mb mia mbili na 34 lakini ghafla nikashangaa naletewa sms kuwa zimekwisha.
Nilipigwa na mshangao mkubwa sana.baadaye nikasema ngoja nijaribu niweke mb za mia tano.nikaweka nikapewa mb 246 cha kushangaza nikaingia jamii forum na kukaa kama dakika tatu au nne hivi bila kufungua video ya aina yoyote ile.lakini nikaletewa sms kuwa zimebaki mb 61.
Lakini cha kushangaza baada kama tena ya dakika 2 hivi nikaletewa sms kuwa kifurushi chako cha JKU kimekwisha.Nilishangaa sana na kusikitika sana hali hiyo.
Nimepiga sana huduma kwa wateja bila kupata msaada wa aina yoyote ile,kwa kuwa sikupata nafasi ya kuongea na wahudumu wa voda zaidi ya kupewa maelekezo ya kujihudumia mwenyewe.
Sasa muda huu tena nimejiunga bando la mia tano na kupewa mb 246 hivi lakini cha kushangaza nimeingia tu JF na kukaa kama dakika mbili bila kufungua video au kuandika chochote wala kusoma habari hata moja zaidi ya kuangalia nyuzi tu.nikasema ngoja nikaangalie salio,nikakuta tena salio eti ni mb 110 .
Wakati hali hiyo haijawahi kutokea. Sasa najuwa humu jukwaani wapo voda nataka kujuwa shida ni nini?
Hili nalo litazamwe kwa Wana CCM waliomo humu jamaa anajitoa sanaaaKwa kazi kubwa anayofanya humu ya kumpamba,kumsifia mama,walitakiwa wamfikirie
Maana hata hao wakina mwijaku,Steve nyerere wanalipwa
Ova
Jero huwez unga bando la kueleweka Sana Sana atapewa mbs 200 something 😊Tafuta hela jomba karne hii bado unaongelea salio la jero(500).
Siishi kwa kutegemea fadhila za kulipwa mimi na wala sipo humu jukwaani kwa ajili ya kumtumikia mtu yeyote yule.nipo humu na kuandika niandikayo kwa kuchochea na uzalendo pamoja na kusimamia UKWELI tu,hata kama unakuwa ni mchungu kwa baadhi ya watuHuyu kapuku atakimbiza sana upepo humu.
Kuna member mmoja humu miaka ile ya 2010 alikuja kukiri baada ya uchaguzi kuwa alinunuliwa modem na laptop kuwaponda washindani wa maboss wake ila walipoukwaa ubunge wakamfungia vioo.
Sasa sijui ni uchumi wa huko bongo umeshuka kama hadi member mtiifu wa Lumumba buku 7 hawezi kuafford kununua data walau hata GB 1 ila kila siku humu kumsifia chura wa kizimkazi ni hatari sana naamimi hata afya yake itakuwa ni mgogoro.
Mimi siyo chawaKwanini unajiunga GB za kimasikini Lucas Mwashambwa wakati wenzio chawa wanakula shushu, why GB 1 ? Inamaana hata Mwijaku na doto magari wamekuzidi Lucas Mwashambwa, 🤣. Kwanini unakaribisha umasikini in your life L. M?
Lucas Achana nao hao! Wewe ndiye unajijua kuliko mtu yeyote, malengo na matamanio yako unayajua weweSiishi kwa kutegemea fadhila za kulipwa mimi na wala sipo humu jukwaani kwa ajili ya kumtumikia mtu yeyote yule.nipo humu na kuandika niandikayo kwa kuchochea na uzalendo pamoja na kusimamia UKWELI tu,hata kama unakuwa ni mchungu kwa baadhi ya watu
Nguvu zote anazotumia kumbe mb za kuungaKumsifu sana samia kama zezeta inasababisha ulaji mkubwa wa bando.
Unavyobubujikwa na machozi unafikiri mchezo?? MB zinaliwa sana.
Kila chozi ni GIGABYTE MOKO.
Cc: Extrovert Poor Brain
HILI NALO MKALITAZAME
Naomba acha kumsumbua waridi wangu ephen.muda siyo mrefu utaanza kumsoma ephen kama Platinum memberMuunge kwanza hata kifurushi cha jero tu. Hayo ya Mbinguni yatajisumbukia yenyewe
Zinaenda kwenye mfuko wa CCM. Kaa kwa kutuliaNdugu zangu Watanzania,
Mimi ni mtumiaji na mteja wa miaka mingi wa mtandao wa voda ,lakini Haijawahi kutokea na sijawahi kushuhudia hali hii katika simu yangu ya ulaji wa mb utafikiri kuna jini limepiga kambi kula mb zangu. Hali hii imejitokeza tangia jana jioni ambapo nilikuwa na mb mia mbili na 34 lakini ghafla nikashangaa naletewa sms kuwa zimekwisha.
Nilipigwa na mshangao mkubwa sana.baadaye nikasema ngoja nijaribu niweke mb za mia tano.nikaweka nikapewa mb 246 cha kushangaza nikaingia jamii forum na kukaa kama dakika tatu au nne hivi bila kufungua video ya aina yoyote ile.lakini nikaletewa sms kuwa zimebaki mb 61.
Lakini cha kushangaza baada kama tena ya dakika 2 hivi nikaletewa sms kuwa kifurushi chako cha JKU kimekwisha.Nilishangaa sana na kusikitika sana hali hiyo.
Nimepiga sana huduma kwa wateja bila kupata msaada wa aina yoyote ile,kwa kuwa sikupata nafasi ya kuongea na wahudumu wa voda zaidi ya kupewa maelekezo ya kujihudumia mwenyewe.
Sasa muda huu tena nimejiunga bando la mia tano na kupewa mb 246 hivi lakini cha kushangaza nimeingia tu JF na kukaa kama dakika mbili bila kufungua video au kuandika chochote wala kusoma habari hata moja zaidi ya kuangalia nyuzi tu.nikasema ngoja nikaangalie salio,nikakuta tena salio eti ni mb 110 .
Wakati hali hiyo haijawahi kutokea. Sasa najuwa humu jukwaani wapo voda nataka kujuwa shida ni nini?
Kwani CCM inahusika vipi hapo ndugu yangu.Nimelia sana mb 246 unakuta 110 wamelamba?? Hapo ndio uone CCM ina wenyewe