shadrackAmri
JF-Expert Member
- Oct 27, 2023
- 275
- 4,064
nataka nikununulie lamwezi mana uwezo huo hunaNajinunulia kwa hela zangu Mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nataka nikununulie lamwezi mana uwezo huo hunaNajinunulia kwa hela zangu Mwenyewe
Ninao uwezo wa kujinunulia na ndio maana nimekuwa nipo humu jukwaani muda wotee nikiandika na kujibu maandiko mbalimbali kwa kina na kwa mapananataka nikununulie lamwezi mana uwezo huo huna
Ndio kajifukiza vyema sana kama mkulima.maana mama ametusaidia sana wakulimaMama amekufikia hakika Sasa machozi yanakububugujika Kwa furaha hakika mama kaupiga mwingi
Niajiri mimi kumpiga dekiNipo tayari kukununulia hadi watu wa kupiga deki njia unayopita ili usichafuke kama ambavyo CHADEMA walivyodekiki lami kwa ajili ya hayati Edward lowassa ambaye walikuwa Wanamtukana kuwa ni fisadi
AiseeNdugu zangu Watanzania,
Mimi ni mtumiaji na mteja wa miaka mingi wa mtandao wa voda ,lakini Haijawahi kutokea na sijawahi kushuhudia hali hii katika simu yangu ya ulaji wa mb utafikiri kuna jini limepiga kambi kula mb zangu. Hali hii imejitokeza tangia jana jioni ambapo nilikuwa na mb mia mbili na 34 lakini ghafla nikashangaa naletewa sms kuwa zimekwisha.
Nilipigwa na mshangao mkubwa sana.baadaye nikasema ngoja nijaribu niweke mb za mia tano.nikaweka nikapewa mb 246 cha kushangaza nikaingia jamii forum na kukaa kama dakika tatu au nne hivi bila kufungua video ya aina yoyote ile.lakini nikaletewa sms kuwa zimebaki mb 61.
Lakini cha kushangaza baada kama tena ya dakika 2 hivi nikaletewa sms kuwa kifurushi chako cha JKU kimekwisha.Nilishangaa sana na kusikitika sana hali hiyo.
Nimepiga sana huduma kwa wateja bila kupata msaada wa aina yoyote ile,kwa kuwa sikupata nafasi ya kuongea na wahudumu wa voda zaidi ya kupewa maelekezo ya kujihudumia mwenyewe.
Sasa muda huu tena nimejiunga bando la mia tano na kupewa mb 246 hivi lakini cha kushangaza nimeingia tu JF na kukaa kama dakika mbili bila kufungua video au kuandika chochote wala kusoma habari hata moja zaidi ya kuangalia nyuzi tu.nikasema ngoja nikaangalie salio,nikakuta tena salio eti ni mb 110 .
Wakati hali hiyo haijawahi kutokea. Sasa najuwa humu jukwaani wapo voda nataka kujuwa shida ni nini?
Nataka mabinti ndio wafanye kazi hiyo na siyo wa kiume.Niajiri mimi kumpiga deki
Kabisa... inaumiza sanaMaboss zako wanashindwa kukununulia bando unlimited kweli ccm inawenyewe
Ooh sasa binti kwa binti blaza.....unaelekea wapi sasa,,,yani binti ndo ampige deki kweliNataka mabinti ndio wafanye kazi hiyo na siyo wa kiume.
Kuna % inakwenda Kwenye Chama kwaajili ya Chaguzi zijazo kwahiyo usilalamikeNdugu zangu Watanzania,
Mimi ni mtumiaji na mteja wa miaka mingi wa mtandao wa voda ,lakini Haijawahi kutokea na sijawahi kushuhudia hali hii katika simu yangu ya ulaji wa mb utafikiri kuna jini limepiga kambi kula mb zangu. Hali hii imejitokeza tangia jana jioni ambapo nilikuwa na mb mia mbili na 34 lakini ghafla nikashangaa naletewa sms kuwa zimekwisha.
Nilipigwa na mshangao mkubwa sana.baadaye nikasema ngoja nijaribu niweke mb za mia tano.nikaweka nikapewa mb 246 cha kushangaza nikaingia jamii forum na kukaa kama dakika tatu au nne hivi bila kufungua video ya aina yoyote ile.lakini nikaletewa sms kuwa zimebaki mb 61.
Lakini cha kushangaza baada kama tena ya dakika 2 hivi nikaletewa sms kuwa kifurushi chako cha JKU kimekwisha.Nilishangaa sana na kusikitika sana hali hiyo.
Nimepiga sana huduma kwa wateja bila kupata msaada wa aina yoyote ile,kwa kuwa sikupata nafasi ya kuongea na wahudumu wa voda zaidi ya kupewa maelekezo ya kujihudumia mwenyewe.
Sasa muda huu tena nimejiunga bando la mia tano na kupewa mb 246 hivi lakini cha kushangaza nimeingia tu JF na kukaa kama dakika mbili bila kufungua video au kuandika chochote wala kusoma habari hata moja zaidi ya kuangalia nyuzi tu.nikasema ngoja nikaangalie salio,nikakuta tena salio eti ni mb 110 .
Wakati hali hiyo haijawahi kutokea. Sasa najuwa humu jukwaani wapo voda nataka kujuwa shida ni nini?
Sportfy boss,Juzi kuamkia jana nimepata sinario kama hii Tigo lakini GB 6 zimeisha chini ya masaa 12 tena nitoe muda wa kulala😫 na sikuwa nadownload chochote.
HahahahaMaboss zako wanashindwa kukununulia bando unlimited kweli ccm inawenyewe
Kwahiyo mimi punda? 😂😂Huyo anatumia FreeBasics asikujaze ukajaa. Jichanganye uwe unalishwa magimbi na mihogo kama punda
Acha upotoshaji wako hapa weweKuna % inakwenda Kwenye Chama kwaajili ya Chaguzi zijazo kwahiyo usilalamike
Kwa hiyo wewe ndio umpigie deki mke wa mtu?Ooh sasa binti kwa binti blaza.....unaelekea wapi sasa,,,yani binti ndo ampige deki kweli
Mimi nafaa kumpiga deki nduguKwa hiyo wewe ndio umpigie deki mke wa mtu?
Hainaga vipimo chuki chuki 😂 😂 😂Kumsifu sana samia kama zezeta inasababisha ulaji mkubwa wa bando.
Unavyobubujikwa na machozi unafikiri mchezo?? MB zinaliwa sana.
Kila chozi ni GIGABYTE MOKO.
Cc: Extrovert Poor Brain
HILI NALO MKALITAZAME