VODACOM naomba mnisaidie kwanini Mb zangu zinakwisha Haraka pasipo matumizi utafikiri kuna jini linakula?

VODACOM naomba mnisaidie kwanini Mb zangu zinakwisha Haraka pasipo matumizi utafikiri kuna jini linakula?

Bro uwe unafanya Mambo ya msingi yaani uchawa wote unajiunga bando la jero jero 😂😂😂..hii nchi ngumu bado hujasema

Ushauri wangu Jitahidi kushusha speed ya mtandao wa simu, Hakikisha huja hotspot mtu kupitia simu yako na angalia application katika simu yako zinavofanya kazi inaweza kuwa chanzo cha kuisha bando lako
 
Siishi kwa kutegemea fadhila za kulipwa mimi na wala sipo humu jukwaani kwa ajili ya kumtumikia mtu yeyote yule.nipo humu na kuandika niandikayo kwa kuchochea na uzalendo pamoja na kusimamia UKWELI tu,hata kama unakuwa ni mchungu kwa baadhi ya watu

Huu ndio uzalendo ??
 
Karibu Airtel Unlimited bwana Lucas..... Huku hatupimiwi data tunapimiwa Speed.

Screenshot_2024-06-17-20-16-38-873_com.android.chrome-edit.jpg

Ila mkuu uachage uchawa uliozidi, ona hizi aibu za kununua bando za jero jero, kwa mtu kama wewe ni bonge la embarassment..
 
Naomba acha kumsumbua waridi wangu ephen.muda siyo mrefu utaanza kumsoma ephen kama Platinum member

Sawa kiongozi. Hapa tunajadili suala Zima la kifurushi Cha internet na mie sijawahi kabisa sumbua waridi lako.

Mambo ya platinum membership Yana Uzi wake unawezakwenda kuweka mambo hadharani kule
 
Bro uwe unafanya Mambo ya msingi yaani uchawa wote unajiunga bando la jero jero 😂😂😂..hii nchi ngumu bado hujasema

Ushauri wangu Jitahidi kushusha speed ya mtandao wa simu, Hakikisha huja hotspot mtu kupitia simu yako na angalia application katika simu yako zinavofanya kazi inaweza kuwa chanzo cha kuisha bando lako
Asante kwa ushauri wako
 
Siishi kwa kutegemea fadhila za kulipwa mimi na wala sipo humu jukwaani kwa ajili ya kumtumikia mtu yeyote yule.nipo humu na kuandika niandikayo kwa kuchochea na uzalendo pamoja na kusimamia UKWELI tu,hata kama unakuwa ni mchungu kwa baadhi ya watu
Sahihi Lucas Mwashambwa. Some days nione jina lako kwenye PDF za state house kwenye ile page ya Ikulu Mawasiliano.

Nitafurahi sana, kada Mtiifu, Mpenda haki na asiyekula Rushwa, na asiyetamani mavocha ya ghali ghali

All the best big chawa, Lucas Mwashambwa
 
Ijumaa, Jmosi na Jumapili nadhani system zao zilikua na shida MB zilikua zinakatika ndani ya sekunde...

Cc: Mahondaw
 
Back
Top Bottom