Hahahaaa. Ahsante sana Sesten.Nilisahau kukupa hongera ya Ethiopia ingawa najua pressure ilikua juu wakati wote wa dakika 90
Wosa wosaWoyooooooooo
Hebu mwiite shost wako ShunieWoyooooooooo
Tena ndo mjitahidi mchukuage kabisa na kombe maana mkilikosa mwakani za kimataifa mtakua mnatushangilia sisi tuHahahaaa. Ahsante sana Sesten.
Wacha kabisa ajuaye Mungu hali niliyokuwa nayo siku ile.
Wanalo leo.Hahahahahaha