radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,440
- 32,260
Sawa Dada nitarudi uniulize vizuri
leo kwisha habar yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa Dada nitarudi uniulize vizuri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sawa Dada nitarudi uniulize vizuri
Ngoja niwashikie stand mapwumbu wasifungweYa 79
Yaani endapo utaisha hivi inakuwa nafuu kwetu kuzidi kuwasogelea.
Acha kutafuta sababuOkwi na Bocco.. Kocha Pierre kasema hawako vizuri kwa mchezo wa leo.
Nyoniiiiiiii anapiga shuti na kupaa lango la Stand
82 ' Simba SC 3-3 Stand United
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Maswali maswali sio mda wake huu alikuwa wapi mda wote
Ameshaniaga eti atarudi baadae lol.leo kwisha habar yako
Eeh Mungu Baba saidia tupate hata goli moja....Yaani endapo utaisha hivi inakuwa nafuu kwetu kuzidi kuwasogelea.
Bora aiseeeee. Sababu natamani ningekuwa mwamuzi. Teh.Ngoja niwashikie stand mapwumbu wasifungwe
Nasikia sasa hivi ni tatu tatu[emoji19] [emoji19] [emoji19]Maswali maswali sio mda wake huu alikuwa wapi mda wote
Nasikia sasa hivi ni tatu tatu[emoji19] [emoji19] [emoji19]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] leo mnajua kunichekesha sana lol.Eeh Mungu Baba saidia tupate hata goli moja....
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]mkuu uwe unahesabu na dakika sio mashuti tu
Hawa jamaa wametushika kubaya unaeza shangaa wanaongeza bao la nne....[emoji2] [emoji2] [emoji2] leo mnajua kunichekesha sana lol.
Ila mpira dk 90 mtani.