Vodacom Premier League 'VPL' KMC FC dhidi ya Simba SC, Kazi Ipo Uwanja wa Uhuru

Simba tunaomba radhi kwa ushindi wa goli chache. Tutazilipia kwa Yanga

Mimi mhenga nakumbuka majivuno, majisifu na majigambo kama haya ya Simba yaliwahi kutokea wakati fulani miaka ya 80 Simba ikitambia kitu kinachoitwa diagonal....mechi ya Simba na Yanga ikafika huku Simba akiamini Yanga atakula nyingi ...Dakika tisini zikaisha na matokeo????? Simba 0 Yanga 3.....ukawa ndio mwisho wa majigambo, majisifu na majivuno....Na diagonal nayo ikawa ndio mwisho wake....Ushauri wa bure kwa wanasimba na hasa wa kizazi kipya...Dont underrate Yanga....mtakuja kung'oa viti uwanjani.....msiende uwanjani na matokeo mfukoni, mtakuja kujuta.......
 
Mkuu hii miaka sio ile iliyopita kwamba ulewe bwax uamke ujikute upo salama.
Kunywa kwa staha!!

Chura ananesanesa chura!!
 
Mimi mhenga nakumbuka majivuno, majisifu na majigambo kama haya ya Simba yaliwahi kutokea wakati fulani miaka ya 80 Simba ikitambia kitu kinachoitwa diagonal....mechi ya Simba na Yanga ikafika huku Simba akiamini Yanga atakula nyingi ...Dakika tisini zikaisha na matokeo????? Simba 0 Yanga 3.....ukawa ndio mwisho wa majigambo, majisifu na majivuno....Na diagonal nayo ikawa ndio mwisho wake....Ushauri wa bure kwa wanasimba na hasa wa kizazi kipya...Dont underrate Yanga....mtakuja kung'oa viti uwanjani.....msiende uwanjani na matokeo mfukoni, mtakuja kujuta.......
We lazima utakua mhenga...!! Hata ivo umekumbusha mbali enzi za 'diagonal samba' Nakubaliana na wewe mpira wakati mwingine una matokeo katili sana. Iwapo Yanga itashinda yatakuwa matokeo katili sana kuwahi kutokea ulimwenguni
 
1954 umenikumbusha mbali sana hiyo diagonal samba simba walitoka nayo Brazil, Baada ya kichapo cha mabao 3 kutoka yanga na samba ikaishia hapo hapo, hawa simba washukuru sana yanga mwaka 1988 simba walikuwa wanashuka daraja, yanga wako moto ndio mabingwa ikabidi mechi yao wawaachie simba wawafunge ili simba wasishuke daraja, kipa wa yanga akampasia mpira Edward Chumila ili afunge goli ndio ikawa pona ya simba
 
Nilishakuambia mim ni mhenga, kwa hiyo hili halina ubishi....Kusema eti "iwapo Yanga itashinda yatakuwa matokeo katili kuwahi kutokea ulimwenguni" nadhani hapa umetanguliza ushabiki kuliko uchambuzi wa soka kwa kuzingatia historia na upinzani wa timu ...Hii ni derby game... na ambayo matokeo yake yanaamliwa siku ya game na siyo kabla ya hapo...msiwadanganye vijana wa kizazi kipya.kuhusu mambo ya derby...Nobody knew kama Brazil ingefungwa nyumbani 7-1 na Ujerumani kwenye world cup
 
Kama simba ingekua na wachezaji 3 kama bwana clatus chota chama, ubingwa caf champions legue tungekua tunachukua asubui asubui

niwito wangu kwa viongozi wa simba kuwa makini kwenye usajili, washushe vyombo kama chama leo hii hatuna raha kukosa champions legue.
 
Mlizoea wachezaji wamekaririwa ni walewale kila mechi, sasa hivi wachezaji wote wana nafasi ya kucheza, so wanapeana nafasi. Well done Sven na Matola.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nzuri sana hii,
Pia wachezaji wengi wamepanda viwango vyao vya soka.
Ucheba alikuwa anauwa viwango vya baadhi ya wachezaji kama Kakolanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hivi Simba iko na Moto mkubwa sana.
Kila mchezaji anafunga.
Kagere asipo angalia atashuhudia tu wenzake wanafunga.
Tunawashukuru viongozi wa Simba SC, kwa kuliondoa benchi la ufundi na kulisajiri jipya.
Yanga lazima walie tarehe 4

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1954 umenikumbusha mbali sana hiyo diagonal samba simba walitoka nayo Brazil, Baada ya kichapo cha mabao 3 kutoka yanga na samba ikaishia hapo hapo, hawa simba washukuru sana yanga mwaka 1988 simba walikuwa wanashuka daraja, yanga wako moto ndio mabingwa ikabidi mechi yao wawaachie simba wawafunge ili simba wasishuke daraja, kipa wa yanga akampasia mpira Edward Chumila ili afunge goli ndio ikawa pona ya simba
Hizi story wengne hata tulikua hatujazaliwa tunaona ni sawa na tunavyoambiwa binadamu alikua nyani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh Sita mkia kulialia kama mzee wake..ndiye aliyemfanya Bashite awe mkia alivyokaaga kwao..kipindi cha pili soft goals muamala ukapenya
 
Kama simba ingekua na wachezaji 3 kama bwana clatus chota chama, ubingwa caf champions legue tungekua tunachukua asubui asubui

niwito wangu kwa viongozi wa simba kuwa makini kwenye usajili, washushe vyombo kama chama leo hii hatuna raha kukosa champions legue.
Ubingwa wa Africa hiyo haiwezekani kwa miaka 50 ijayo, haitatokea club yoyote bongo kuchukua CCL

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom