jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,342
Chura kesha anza kunesanesa, anampandishia mizuka mnyama.Kushabikia Simba raha sana, bado tarehe 04 Januari Churra anyoooshwe kama Rulla
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chura kesha anza kunesanesa, anampandishia mizuka mnyama.Kushabikia Simba raha sana, bado tarehe 04 Januari Churra anyoooshwe kama Rulla
Simba tunaomba radhi kwa ushindi wa goli chache. Tutazilipia kwa Yanga
Mkuu hii miaka sio ile iliyopita kwamba ulewe bwax uamke ujikute upo salama.Mimi mhenga nakumbuka majivuno, majisifu na majigambo kama haya ya Simba yaliwahi kutokea wakati fulani miaka ya 80 Simba ikitambia kitu kinachoitwa diagonal....mechi ya Simba na Yanga ikafika huku Simba akiamini Yanga atakula nyingi ...Dakika tisini zikaisha na matokeo????? Simba 0 Yanga 3.....ukawa ndio mwisho wa majigambo, majisifu na majivuno....Na diagonal nayo ikawa ndio mwisho wake....Ushauri wa bure kwa wanasimba na hasa wa kizazi kipya...Dont underrate Yanga....mtakuja kung'oa viti uwanjani.....msiende uwanjani na matokeo mfukoni, mtakuja kujuta.......
We lazima utakua mhenga...!! Hata ivo umekumbusha mbali enzi za 'diagonal samba' Nakubaliana na wewe mpira wakati mwingine una matokeo katili sana. Iwapo Yanga itashinda yatakuwa matokeo katili sana kuwahi kutokea ulimwenguniMimi mhenga nakumbuka majivuno, majisifu na majigambo kama haya ya Simba yaliwahi kutokea wakati fulani miaka ya 80 Simba ikitambia kitu kinachoitwa diagonal....mechi ya Simba na Yanga ikafika huku Simba akiamini Yanga atakula nyingi ...Dakika tisini zikaisha na matokeo????? Simba 0 Yanga 3.....ukawa ndio mwisho wa majigambo, majisifu na majivuno....Na diagonal nayo ikawa ndio mwisho wake....Ushauri wa bure kwa wanasimba na hasa wa kizazi kipya...Dont underrate Yanga....mtakuja kung'oa viti uwanjani.....msiende uwanjani na matokeo mfukoni, mtakuja kujuta.......
We lazima utakua mhenga...!! Hata ivo umekumbusha mbali enzi za 'diagonal samba' Nakubaliana na wewe mpira wakati mwingine una matokeo katili sana. Iwapo Yanga itashinda yatakuwa matokeo katili sana kuwahi kutokea ulimwenguni
Mlizoea wachezaji wamekaririwa ni walewale kila mechi, sasa hivi wachezaji wote wana nafasi ya kucheza, so wanapeana nafasi. Well done Sven na Matola.Du maisha yanaenda kasi sana Chama ni wakuanzia benchi siku hizi.
Nzuri sana hii,Mlizoea wachezaji wamekaririwa ni walewale kila mechi, sasa hivi wachezaji wote wana nafasi ya kucheza, so wanapeana nafasi. Well done Sven na Matola.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasema anaruka ruka Jana karuka na goli[emoji1][emoji1][emoji1] Mara tarehe 4 karuka na goli tenaMara muuza matikiti Mara nani
Wanamuita gerson fraga
Hizi story wengne hata tulikua hatujazaliwa tunaona ni sawa na tunavyoambiwa binadamu alikua nyani1954 umenikumbusha mbali sana hiyo diagonal samba simba walitoka nayo Brazil, Baada ya kichapo cha mabao 3 kutoka yanga na samba ikaishia hapo hapo, hawa simba washukuru sana yanga mwaka 1988 simba walikuwa wanashuka daraja, yanga wako moto ndio mabingwa ikabidi mechi yao wawaachie simba wawafunge ili simba wasishuke daraja, kipa wa yanga akampasia mpira Edward Chumila ili afunge goli ndio ikawa pona ya simba
Ubingwa wa Africa hiyo haiwezekani kwa miaka 50 ijayo, haitatokea club yoyote bongo kuchukua CCLKama simba ingekua na wachezaji 3 kama bwana clatus chota chama, ubingwa caf champions legue tungekua tunachukua asubui asubui
niwito wangu kwa viongozi wa simba kuwa makini kwenye usajili, washushe vyombo kama chama leo hii hatuna raha kukosa champions legue.
Akili za Yanga ndio zinaamini hivi,Sisi Simba tunaamini inawezekanaUbingwa wa Africa hiyo haiwezekani kwa miaka 50 ijayo, haitatokea club yoyote bongo kuchukua CCL
Sent using Jamii Forums mobile app