Hahahahahahahahah uone hata zAibu basi Mpira dk 90 uwe Fair sio dk 90 kila mechi unamtegemea refa.Yes, siku zote napenda mashabiki wanaoamini kuwa mpira ni dakika 90' Kongole kwako mkuu
SimbaNguvuMoja...!
Kweli [emoji1756][emoji1756]Leo tumebebwa, goli la Kwanza ni offside ya waaaaazi[emoji38][emoji3][emoji16][emoji23][emoji1787][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahahahah uone hata zAibu basi Mpira dk 90 uwe Fair sio dk 90 kila mechi unamtegemea refa.
Muoga sana weye Mtani. π€£π€£π€£[emoji106]
Hongera.
Mtani umeanza lini kuwa na kauli tata namna hii? π€£π€£π€£Kuna surprise itatokea leo.
Mtani Post zako zimefanya niupitie huu uzi wote kwani zina ukweli ule mchungu. ππSimba ni timu mbovu sana huo ndio ukweli,timu inashinda kwa mbeleko mbeleko tu.
Au kama timu ya hapa Mtaani kwangu. πππTimu imezidiwa kocha hajui na wala haelewi anachokifanya Simba inacheza mpira utadhani ni Mlalapua Rangers
LOL. Nyie shida yenu Points 100 tu. π€π€π€
πππ Naona mnataka kutoana macho wenyewe kwa wenyewe Mtani.Huo ushabiki maandazi, Ushabiki uchwara wa kusifia kwenye ujinga mimi sina,Endelea kushabikia ushindi wa kubebwa na magoli ya Offside ukidhani una timu bora kumbe ni kikundi cha matapeli tu.
Watabisha,Yanga wametengenezaView attachment 1347101
πππ
Tutake radhi ShadeeyaAu kama timu ya hapa Mtaani kwangu. πππ
Wawashukuru tu wale vibendera.Watabisha,Yanga wametengeneza
Kisaa wakati mumekuwa zaidi ya wachovu.T
Tutake radhi Shadeeya
Inabidi muandaage IST kwa ajili ya washika vibendera. Kwani kama ni kazi wanawafanyia kwa usahihi kabisa.T
Tutake radhi Shadeeya
Kwa hiyo mpaka tutakapokuja kuwafunga nyie na pia kubeba ile ndoo ndio mtakapo kubali Simba baba lao?Kisaa wakati mumekuwa zaidi ya wachovu.
Aah!! Simba hamna kitu pale.Kwa hiyo mpaka tutakapokuja kuwafunga nyie na pia kubeba ile ndoo ndio mtakapo kubali Simba baba lao?
Ngoja nikwambie siri moja ambayo naamini ulikua hujui Shadeeya mamii. Siku zote bingwa kwenye jambo lolote hata vitani anakua na mambo mawili au matatu muhimuInabidi muandaage IST kwa ajili ya washika vibendera. Kwani kama ni kazi wanawafanyia kwa usahihi kabisa.