Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC dhidi ya Polisi Tanzania, Rekodi Ya Alama 50 Kuwekwa Leo

Hahahahahahahahah uone hata zAibu basi Mpira dk 90 uwe Fair sio dk 90 kila mechi unamtegemea refa.
Hujui hata maana ya kumtegemea refa, timu inapambana kusaka ushindi hatimaye unapatikana, ingekuwa kama wachezaji hawapambani kila wakati ni wanamzonga mwamuzi, na kulalamika hivyo ingekuwa kweli

Lakini nimeangalia kwenye post zako za soka, nimeona nitapoteza muda kukujibu, kwangu naamini matokeo matatu kwenye soka hakuna timu ambayo haifungwi kuna makosa ya kibinadamu kwa waamuzi..Au hukuona Tambwe alifunga kwa mkono lakini watu walisemaje? Na Kagere juzi kukataliwa bao halali, na Chanongo kuambiwa Offiside. Nenda kalale..!
 
Tuwe wakweli ushindi wa Simba wa hivi karibuni haufurahishi ,unafurahisha! yaani goli kama la kwanza la jana ,hadi sasa nashindwa kuelewa Refarii na kibendera wake walikosea au la! Ingawaje haraka haraka kubaini kuwa Boko aliotea au lah ni ngumu kidogo katika hali kama ile! Ila mimi kwa jicho langu beki aliyekuwa kushoto aliposogea ndipo alipo halalaisha kibendera kuona Boko hajaotea!
Nawasilisha/nawakilisha
😀 😀
 
Chukueni tumewaachia.
Hamjatuachia tukichukua ni kwa uwezo wetu...Makosa ya marefa yasifanye Simba kuonekana mbovu..

Nyie mmecheza juzi mkashinda goli 1 ila ilikuwa mtoshane nguvu sema makosa ya refa yakawabeba..

Tumecheza na Coastal Kagere alifunga goli ila lilionekana Offside na haikuwa Offside mbona sisi hatulalamiki jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hujui kuwa walikuwa wamekosea au lah! maanake hujui sheria na kanuni za FIFA kuhusu offside. Ungekuwa unajua ungesema kuwa waamuzi walikuwa sahihi kwasababu ya moja, mbili, tatu. Au ungesema waamuzi hawakuwa sahihi kwasababu ya moja, mbili, tatu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
haya niambie wewe mkuu ,hayo ni maoni yangu ! Utata kama huu wangu ndio ulilita VAR nafikiri!
 
haya niambie wewe mkuu ,hayo ni maoni yangu ! Utata kama huu wangu ndio ulilita VAR nafikiri!
V.A.R

Kutokana na sheria ya offside ni kwamba inaangaliwa position ya mcheza alipokuwa, wakati pass inatoka kwa aliempa assist. Hivyo wakati mpira unapigwa kuelekea kwa Bocco, Bocco tayari alikuwa kwenye offside position.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi niliona wakati inapigwa Boko na mlinzi aliyekuwa kushoto naye alisogea akawa sambamba na Boko.Anyway hata iweje,Simba ilipata pointi mbili,hayo madhaifu ya Refa ni ubinadamu tu..!
Ili nikufurahishe zaidi hilo lilikuwa bao la Mungu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…