Vodacom Premier League 'VPL Uwanja wa Uhuru Dar: Simba SC 0 - 1 JKT Tanzania

Kwa hii post Sea nimekupa like tena ile yenye Makopa mawili. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

#mkifungwamnakaulitamukamasukari.
 
Mtani Mtani Mtani.

Huwa nina kauli yangu moja halafu hutakagi kuifanyia kazi. Sisi tutabiri Mvua tu Mtani. 🀣🀣
Daaaaah sawa sisi tumekubali matokeo, Mungu ni wetu sote.πŸ‘

Simba nguvu moja
 
Wachezaji wa Simba, benchi la ufundi na viongozi wetu wanazingua sana. Wakati mwingine nikimuona msemaji wa Club Bwana Manara akizungumza kwa kujigamba najiuliza hivi kweli haoni kua ushindi wetu siju hizi unakua kama tunabahatisha?
 
Shadeeya usivunjike moyo hii ni hali ya mpito tu, mambo mazuri yanakuja.

Simba nguvu moja
Kabisaaa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mkifungwa aaah mnajitoa ufahamu mpaka raha Mtani.

Kabisa haya ni ya mpito tu japo bila kuzidisha kiasi cha miamala na kubadilisha hizi IST gari za bei kubwa kidogo nionavyo tutahadhirika. 😎😎😎
 
Kama yule Paschal Wawa striker anaruka juu anapiga cutting header jamaa anamtazama kama vile yupo kwenye jumba la cinema hata kuruka ku mchalenge hakuna hahahahahahahahah
Nakazia 🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…