Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Mkuu hapo juu kuna comment nimesema wazi bila ushabiki uhanangwa,Tulistahili kuwa na point 29 tu mpaka sasa,Kama sio mbeleko ya marefa kwa mechi 6 zilizopita.
Mikia wafungwe mechi tano mfululizo ndipo wawe na heshima kwa timu nyingine.,majivuno na majigambo walizidi mno...hapa namanisha baadhi ya viongozi wao wasio na heshima hata kidogo...kwa mashabiki kujigamba ni sawa tu. Lakini kwa kiongozi hapana you have to respect other teams...eti back to back sisi ni mabingwa miaka mitano mfululizo...how? Una uhakika. gani kwa hill..yaani you have no respect at all..eti Morrison ni takataka...yaani kiongozi unadiriki kumdhalilisha mchezaji namna hiyo na tff inakaa kimya? Huyu Karia vipi? Eti kiongozi wa Simba anasema yanga ni sawa na mgonjwa unamchagua umchome sindano sehemu gani ya mwili...fikiria Kama kiongozi wa Man City akisema hivyo dhidi ya Man United atafanywa Nini na FA ya England? Mimi kwa hakika naishangaa mno TFF ya Karia....Game imeisha.k[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenye uwezo wa kucheza simba ni marefa tuKocha hatuna,haruna shamte, Kennedy juma hawana uwezo wa kuichezea Simba
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia wananunua tu marefaKuwe na first 11 inayoeleweka siyo kujaza tu wachezaji kibao kila siku wanaingia wapya hamna hata chemistry,tumepiga sana kelele kwamba defence hatuna ila wao wananunua tu viungo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Offside, unataka kulazimishaTufanye Yanga mshinde kesho na muongoze Ligi.
Goli halali la Fraga halitazungumzwa kwakuwa wananchi wamefurahi.
Wala marefa hawatajadhibiwa kwakuwa Simba kafungwa.
Nasubiri kulisubiria goli halali la Yanga litakalo kataliwa. Hali itakuwaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah watachezesha kwa hofu sana mpaka zile points za dhulma zirudi kea wenyewe maana mlizidiKiukweli Simba kuanzia sasa sisi tutakuwa wahanga wakubwa wa marefa wa Tanzania wasiojua hata sheria za mpira zilivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sir God anawalipa baada ya dhulma ya mechi nyingi kuwa mnabebwa,saizi hata goli la wazi litafutwa hadi tufidie points 15 tulizoibaWaamuzi wa Pembeni wameifunga Simba siyo JKT kamwe hata kocha tusimlaumu hata goli la wazi limekataliwa, Offside za haramu kwa Papaa Jon TFF tutaona, SIMBA TUNASUBIRI HUKUMU YA MWAMUZI HUYU WA LEO.
Tehteteh...swali nimelipenda Sana...Naomba kuuliza.....Kutakuwa na refa?😁😁😁
paka mwitu lauwawa huko mjini.Ni siku nyingine tena kwa Wanasimba kuendelea kufurahia burudani pamoja na ushindi.NguvuMoja
Yaani hao hasa huyo Shamte, ni wa kumuacha fasta Sana.Kocha hatuna,haruna shamte, Kennedy juma hawana uwezo wa kuichezea Simba
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwe mkweli kulikuwa na goli pale? Mpira hata nusu ya mlingoti haukuvuka. Sheria ya goli kwenye mstari unaifahamu? Rudia kuangalia kwa makini bila ushabiki. Haikuwa goli,wala haikuwa kona
Hao wote n wachezaji wa kikosi kipanaKocha hatuna,haruna shamte, Kennedy juma hawana uwezo wa kuichezea Simba
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya wapi mmekosea naona unaingelea wapinzani.uzuri wa Simba hata wakifungwa na magoli yao kukataliwa na marefa hawakimbilii kulaumu marefa au kulaumu timu nyingine ila walalamishi fc wao wakifungwa kama sio refa basi simba wamehusika au simba ikishinda wanalalamika kuliko hata timu iliyofungwa lakini sisi tunaangalia madhaifu yetu wapi tumekosea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo inabidi wachezaji wafunge magoli ya mbali ili akina Shadeeya wakose cha kuongea[emoji16]
uzuri wa Simba hata wakifungwa na magoli yao kukataliwa na marefa hawakimbilii kulaumu marefa au kulaumu timu nyingine ila walalamishi fc wao wakifungwa kama sio refa basi simba wamehusika au simba ikishinda wanalalamika kuliko hata timu iliyofungwa lakini sisi tunaangalia madhaifu yetu wapi tumekosea