Vodacom Premier League 'VPL Uwanja wa Uhuru Dar: Simba SC 0 - 1 JKT Tanzania

Vodacom Premier League 'VPL Uwanja wa Uhuru Dar: Simba SC 0 - 1 JKT Tanzania

Tufanye Yanga mshinde kesho na muongoze Ligi.
Goli halali la Fraga halitazungumzwa kwakuwa wananchi wamefurahi.
Wala marefa hawatajadhibiwa kwakuwa Simba kafungwa.
Nasubiri kulisubiria goli halali la Yanga litakalo kataliwa. Hali itakuwaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Game imeisha.k[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mikia wafungwe mechi tano mfululizo ndipo wawe na heshima kwa timu nyingine.,majivuno na majigambo walizidi mno...hapa namanisha baadhi ya viongozi wao wasio na heshima hata kidogo...kwa mashabiki kujigamba ni sawa tu. Lakini kwa kiongozi hapana you have to respect other teams...eti back to back sisi ni mabingwa miaka mitano mfululizo...how? Una uhakika. gani kwa hill..yaani you have no respect at all..eti Morrison ni takataka...yaani kiongozi unadiriki kumdhalilisha mchezaji namna hiyo na tff inakaa kimya? Huyu Karia vipi? Eti kiongozi wa Simba anasema yanga ni sawa na mgonjwa unamchagua umchome sindano sehemu gani ya mwili...fikiria Kama kiongozi wa Man City akisema hivyo dhidi ya Man United atafanywa Nini na FA ya England? Mimi kwa hakika naishangaa mno TFF ya Karia....
 
Waamuzi wa Pembeni wameifunga Simba siyo JKT kamwe hata kocha tusimlaumu hata goli la wazi limekataliwa, Offside za haramu kwa Papaa Jon TFF tutaona, SIMBA TUNASUBIRI HUKUMU YA MWAMUZI HUYU WA LEO.
Sir God anawalipa baada ya dhulma ya mechi nyingi kuwa mnabebwa,saizi hata goli la wazi litafutwa hadi tufidie points 15 tulizoiba

Nguvu moja
 
uzuri wa Simba hata wakifungwa na magoli yao kukataliwa na marefa hawakimbilii kulaumu marefa au kulaumu timu nyingine ila walalamishi fc wao wakifungwa kama sio refa basi simba wamehusika au simba ikishinda wanalalamika kuliko hata timu iliyofungwa lakini sisi tunaangalia madhaifu yetu wapi tumekosea
 
H

Haya wapi mmekosea naona unaingelea wapinzani.
 
Pole sana mkuu hii ndio hali halisi

Back
Top Bottom