Vodacom Premier League: Yanga yaibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Biashara

Vodacom Premier League: Yanga yaibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Biashara

Ila yanga jamani tuangalie tu namna ya kuisaidia maana hatua ambayo inapitia ni huruma
 
nampigia mkuu wa kituo cha polisi Chang'ombe asogeze jeshi. hali ni mbaya
 
[emoji107][emoji106]
Screenshot_20210417-195912.jpg
 
Jamani watani msiwewaoga njooni Jf....!
Mbona siku walipocheza wanaume Simba na Al Ahl mlikuwa wengi hapa!?
 
Back
Top Bottom