Vodacom Premier League: Yanga yaibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Biashara

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe! Hongereni sana utopolo!! Naona sasa mmeanza ligi!! Komaa mtani hapo kileleni, angalau hadi mwisho wa wiki ijayo, baada ya hapo tuheshimiane!!
 
Nawaombea heri Yanga wajitahidi kupambana wapate japo point moja...

Hii ni timu ya wananchi wanyonge.... tuiunge mkono kumuenzi Magufuli
Umuenzi magu kwa lipi? Kaharibu uchumi kiasi kwamba kuna watu hawajalipwa Mishahara au pensheni yao mpaka leo. Watu waliuawa au kupigwa risasi bila kosa lolote. Matumizi mabaya ya madaraka na mali za umma
 
Hii sio timu ya kumuuingua mkono magufuli maana wanawachama wake wengine ni wanachama wa vyama vya upinzani
 
nani alimteka tajiri mwekezaji Mo,hii ni mada nyingine
 
Hii sio timu ya kumuuingua mkono magufuli maana wanawachama wake wengine ni wanachama wa vyama vya upinzani
Wapinzani sio wananchi? Wasukuma mlitaka kuifanya hii nchi mali yenu. Sisi tukamwachia Mungu akamtwaa Mungu wenu...

Mkituzingua, tunazinguana
 
unajua kama point za Yanga sawa na goal difference ya Simba?
 
Back
Top Bottom