OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Yanga leo wamekwea daladala kuelekea Chamazi wakipitia Mbagala kucheza na Azam FC. Mechi itaanza saa moja jioni. Dube atakuwepo. Sure Boy atakuwepo shimoni pale.
Usiondoke
Mashine za Azam
Matokeo
Goli lililofungwa na Deus Kaseke katika dakika ya 49, lilitosha kufanya Yanga kuchukua points 3 dhidi ya Azam katika uwanja wao wa Azam Complex