Vodacom Premier League: Yanga yaichapa Azam 1-0 na kukamata usukani wa ligi

Vodacom Premier League: Yanga yaichapa Azam 1-0 na kukamata usukani wa ligi

kwa hiyo?ulikuwa wapi kupost,wazee wa kuvizia mpaka mfunge

Unapoweka uzi wa Live Updates, tuna assume kwamba umechukua mamlaka ya kutoa taarifa za moja kwa moja za mechi hiyo, unavaa viatu vya watangazaji. Na kwa muda huo, unaweka unazi pembeni.

Kuna mdau anaitwa Ghazwat, huyu ni mshabiki mzuri sana wa Simba, akianzisha uzi kama Yanga inacheza anautendea haki.

Pia kuna Joseverest, ni Yanga lialia, ila akianzisha uzi wa Live Updates hata kama ni Simba inacheza anakuwa fair kwenye kutoa updates.

Si vibaya ukajifunza kutoka kwa wengine.
 
mimi sio wao. Mkuu usipoteze nguvu nyiiiiingi. We nizoeee tu, ulikuwa wapi kuanzisha uzi? sina jema na utopolo na sitakuwa na jema. Full stop hutaki unaacha
 
Binafsi naamini kuna ulilojifunza, ila unapambana kubisha ili usionekane umeshindwa.

Nothing personal bro, niliona nili address hilo.
hakuna kitu,huna cha kunifundisha. na kesho njoo uone. walishakuja wenzio wakashupaza shingo zaidi yako hawakufanikiwa
 
Nakuunga mkono, haukuwa mchezo ule, yaani sijawahi kuona Azam wakicheza mchezo wa kitoto kama leo, timu inacheza utadhani ya daraja la 4
Mbona alivyofungwa na Kmc hamkusema hayo maneno? Alivyofungwa na Mtibwa je?
 
Hongera sana Yanga,pongezi ziende kwa wachezaji wote.

Kocha wetu na benchi lake la ufundi,lakini kwa uongozi mzima was yanga na viunga vyote vya jangwani.

Mwisho kabisa,ni kiungo Deus kaseke mchango wako nauelewaga sana hasa katika nyakati na mechi ngumu hongera sana dogo.
 
Binafsi naamini kuna ulilojifunza, ila unapambana kubisha ili usionekane umeshindwa.

Nothing personal bro, niliona nili address hilo.
Kama wakifungwa mwenye timu anachanganyikiwa na ku-tweet mambo yasiyoeleweka unategemea nini kwake,dozi ya leo imewauma sana Mbumbumbu FC walikuwa na uhakika tunafungwa
 
Back
Top Bottom