Vodacom Premier League: Yanga yaichapa Azam 1-0 na kukamata usukani wa ligi

HT Azam 0-0 Yanga
Azam you let me down jikazeni tupate hata draw tu
 
Nionacho mechi hii kati ya Azam na Yanga lazima tajiri achukue hatua,huu ni utani
 
Thread ya Live Updates huwa inatakiwa kufunguliwa moja, na sote Yanga na Simba tunatakiwa kuchangia humo humo, sasa kama unaweka maneno ya utani kwenye heading siyo powa.

Kama vipi awaachie Yanga waweke uzi kama hawezi kuwa mstaarabu kwenye heading.
Haelewii huyoo...hajui hizo updates kuna baadhi ya watu ni chanzo chao rasmi cha matokeo
 
Thread ya Live Updates huwa inatakiwa kufunguliwa moja, na sote Yanga na Simba tunatakiwa kuchangia humo humo, sasa kama unaweka maneno ya utani kwenye heading siyo powa.

Kama vipi awaachie Yanga waweke uzi kama hawezi kuwa mstaarabu kwenye heading.
onyesha kifungu cha JF regulations. Huna mamlaka ya kunipangia wewe
 
Back
Top Bottom