Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Mzee mwenzangu salama za siku tele?Azam hawachezi isipokuwa wanaruka ruka tu.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee mwenzangu salama za siku tele?Azam hawachezi isipokuwa wanaruka ruka tu.....
😂😂😂😂😂😂unanilipa? uzi nianzishe mwenyewe halafu unipangie vya kupost
Utabiri umedunda[emoji1][emoji1]Leo Yanga watafunga zaidi ya bao Moja.
Hiki kikosi nimekipenda. Nchimbi Striker.
Anataka kubet aweke mzigo hapa.
Endelea kushangilia,ikiwezekana kasaidieni na kukanda ngano ya maandazi kabisamechi ya Azam lakini Simba fans tumeinunua. tutashangilia mpaka mlie
We ulikuja kufanya nn? Mechi inakuhusu? Punguza kwanza huu umalaya ndiyo utaelewekaIla mechi za Simba wana viherehere wanajaa kwa wingi
Mechi yenu mikia atakuwa kapona,atakuwepo usijaliDube yupo chini kaumia.hawezi kurudi Daah fungaji langu
Usijali leo kaumia,mechi na mikia atafanya ivyoNamtakia kila la kheri Prince Dube apige Hat trick leo
Toka zako wewe utopolo si uko huko nyuma.. Acha wivu si kwa wanaumeeh..mimi sio wao. Mkuu usipoteze nguvu nyiiiiingi. We nizoeee tu, ulikuwa wapi kuanzisha uzi? sina jema na utopolo na sitakuwa na jema. Full stop hutaki unaacha
ukisema Utopolo unamaanisha Yanga aFlikaToka zako wewe utopolo si uko huko nyuma.. Acha wivu si kwa wanaumeeh..
Piga kelele kwa Yanga akeeeeeeh..
Mtajinyonga mwaka huu
matopeni Leo Azam kawakeraa [emoji23][emoji23][emoji23]ukisema Utopolo unamaanisha Yanga aFlika
Wadaawa fc katika ubora wenumechi ya Azam lakini Simba fans tumeinunua. tutashangilia mpaka mlie
Mdaawa mbona unapanic, vipi kwani? Kwa nini unateseka hivionyesha kifungu cha JF regulations. Huna mamlaka ya kunipangia wewe
Na wewe umezidi na kiherehere, alafu una hasira zitokanazo na wivu wa like. Badilika we mdaawa.kwa hiyo?ulikuwa wapi kupost,wazee wa kuvizia mpaka mfunge
Usitufokee, kalale huko.....mimi sio wao. Mkuu usipoteze nguvu nyiiiiingi. We nizoeee tu, ulikuwa wapi kuanzisha uzi? sina jema na utopolo na sitakuwa na jema. Full stop hutaki unaacha
Badoo tukaze tu boot inshallah tutafika tunapopataka.Tupewe tu hilo kombe, maana si kwa record hii ya kutokupoteza.