Vodacom Premier League: Yanga yaichapa Azam 1-0 na kukamata usukani wa ligi

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001

Yanga leo wamekwea daladala kuelekea Chamazi wakipitia Mbagala kucheza na Azam FC. Mechi itaanza saa moja jioni. Dube atakuwepo. Sure Boy atakuwepo shimoni pale.
Usiondoke

Mashine za Azam

Matokeo

Goli lililofungwa na Deus Kaseke katika dakika ya 49, lilitosha kufanya Yanga kuchukua points 3 dhidi ya Azam katika uwanja wao wa Azam Complex
 
ground ni full house. Yanga mkipigwa sijui mtakimbilia wapi. ntacheka
 
Dube yupo chini kaumia.hawezi kurudi Daah fungaji langu
 
Yanga wana mashabiki waoga Sana ,hapa wanachungulia Kama nguchiro kaoana mbwa!
Na wewe OkwiBoban Sunzu usiwe unawaanzia nyuzi Utopolo!
 
Yanga wana mashabiki waoga Sana ,hapa wanachungulia Kama nguchiro kaoana mbwa!
Na wewe OkwiBoban Sunzu usiwe unawaanzia nyuzi Utopolo!
Acha aweke tu..maana tunaweza kosa kumbukumbu humu achilia mbali updates..
 
Nasoma maoni hapa ya wasikilizaji..

Bobani anasema azam 2 yanga 0.

Ghwazat nae anasema azam 3 yanga 1..

Gentamycin yeye anawapa ushindi azam 1 kwa sufurii.

Sijui wewe mtazamaji mwingine unasemaje
 
Yanga wana mashabiki waoga Sana ,hapa wanachungulia Kama nguchiro kaoana mbwa!
Na wewe OkwiBoban Sunzu usiwe unawaanzia nyuzi Utopolo!
waliopo uwanjani wanarusha chupa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…