Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
onyesha kifungu cha JF regulations. Huna mamlaka ya kunipangia wewe
😁😁😁😁😁 teh teh tehAzam hawachezi isipokuwa wanaruka ruka tu.....
kwa hiyo?ulikuwa wapi kupost,wazee wa kuvizia mpaka mfungeMods wamebadili heading tayari, ungekuwa ulichoandika ni sahihi wangeacha vile vile.
Sasa naelewa kwa nini Rage alituita mbumbumbu.
kwa hiyo?ulikuwa wapi kupost,wazee wa kuvizia mpaka mfunge
Nakuunga mkono, haukuwa mchezo ule, yaani sijawahi kuona Azam wakicheza mchezo wa kitoto kama leo, timu inacheza utadhani ya daraja la 4Nionacho mechi hii kati ya Azam na Yanga lazima tajiri achukue hatua,huu ni utani
mimi sio wao. Mkuu usipoteze nguvu nyiiiiingi. We nizoeee tu, ulikuwa wapi kuanzisha uzi? sina jema na utopolo na sitakuwa na jema. Full stop hutaki unaachaUnapoweka uzi wa Live Updates, tuna assume kwamba umechukua mamlaka ya kutoa taarifa za moja kwa moja za mechi hiyo, unavaa viatu vya watangazaji. Na kwa muda huo, unaweka unazi pembeni.
Kuna mdau anaitwa Ghazwat, huyu ni mshabiki mzuri sana wa Simba, akianzisha uzi kama Yanga inacheza anautendea haki.
Pia kuna Joseverest, ni Yanga lialia, ila akianzisha uzi wa Live Updates hata kama ni Simba inacheza anakuwa fair kwenye kutoa updates.
Si vibaya ukajifunza kutoka kwa wengine.
Ukiangalia comment za mashabiki wa simba unaona jinsi wa Tanzania tunasafari ndefu kujua mpira.
mimi sio wao. Mkuu usiooteze nguvu nyiiiiingi. We nizoeee tu, sina jema na utopolo na sitakuwa na jema. Full stop
hakuna kitu,huna cha kunifundisha. na kesho njoo uone. walishakuja wenzio wakashupaza shingo zaidi yako hawakufanikiwaBinafsi naamini kuna ulilojifunza, ila unapambana kubisha ili usionekane umeshindwa.
Nothing personal bro, niliona nili address hilo.
Wewe ni matako ya nyaniu
utopolo kama uto lazima wafungwe
Mmekalia mkuyengemechi ya Azam lakini Simba fans tumeinunua. tutashangilia mpaka mlie
UmemrogaNamtakia kila la kheri Prince Dube apige Hat trick leo
Mbona alivyofungwa na Kmc hamkusema hayo maneno? Alivyofungwa na Mtibwa je?Nakuunga mkono, haukuwa mchezo ule, yaani sijawahi kuona Azam wakicheza mchezo wa kitoto kama leo, timu inacheza utadhani ya daraja la 4
Kama wakifungwa mwenye timu anachanganyikiwa na ku-tweet mambo yasiyoeleweka unategemea nini kwake,dozi ya leo imewauma sana Mbumbumbu FC walikuwa na uhakika tunafungwaBinafsi naamini kuna ulilojifunza, ila unapambana kubisha ili usionekane umeshindwa.
Nothing personal bro, niliona nili address hilo.
Mashabiki wa simba ni mbumbu mkuu elewa hilo kama muanzisha uzi siasa zimemjeruhi na yanga imemjeruhi hadi mkia umeoza tunacho subiria ni fifa watoe tamko la kuukata.Hahaha, ushabiki raha sana timu yako ikishinda.
Kwa hiyo washabiki wa Simba wanalichelewesha taifa kusonga mbele kimpira?