Eliphaz the Temanite
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 3,018
- 1,151
Nasikitika na kulia Voda wamekwangua bundle la internet 5GB nililo nunua Tar.27/12/2013 jana Tar.31/12/2013 bundle lote jamaa wamekwangua na matumizi yangu ni ya kawaida sana ni email na kuingia JF yaani inaniuma sana hawa Voda walicho nitenda nawapigia longo longo nyingi.
Wadau heri ya mwaka mpya nyote. VODACOM wamenisikitisha asubuhi hii kwani nimeweka shs 2000 ili nijirushe nashangaa najaribu kujiunga najibiwa huna salio!!! kucheki salio nina 800!!!Sijawahi kukopa. Sasa pesa yangu wamepeleka wapi???!!!!! Vodacom siwaelewi!!!!Hakika napanga kuhamia mtandao mwingine.
Huyu Hapa Vodacom CS Support

Hahaha pole sana....baba lao ndo mambo yote hapa natumia bando langu la mwaka jana bila wasi.....
Kuna uzi ulikua uko kule jukwaa la habari mchanganyiko..jamaa alikua na shida kama yako na alilipwa ela yake....embu jaribu pitia kule mkuu!!! Pole sana na heri ya mwaka mpya!! Cc Vodacom cs agent
Mkuu unatumia line gani? Inaniuma nimetupia 25000/= siku 4 wamekula bundle lote.