Sio Mpenzi Sana Wa Mtandao Huu Wa Voda Na Hapo Mwanzo Kilichonifanya Ni'Opt Tigo Kwa Sababu Tuu Restrictions Zenu Zilikuwa Zikinikera...
Mfano: Utakuta Mtu Ananipigia Kutoka Simu Yake Kuja Kwangu Lakini Hujibiwa Nothing Na Uku Kwangu Simu Haitotoa Mlio (hutokea hasa wateja wa mitandao tofauti walipokua wananipigia).
Kingine Ni Ujumbe Mfupi Wa Maandishi, SMS Kwenye Simu Yangu Zilikua Hazifik Kwa Wakat, Mtu Anantumia Leo MSG Mim Napokea Kesho,
Kwa Kweli Ilinilazimu Kuuhamaa Mtandao Wenu
Sasa Nimerudi Kama Mwaka Mmoja Uliopita Na Sababu Kuu Ikiwa Ni Internet, Nimefurahishwa Na Bundle Zenu Na Mim Ni Mpenzi Sana Wa Kifurushi Cha Uhuru, Haipiti Siku Bila Kujiunga..
Lakini Tunapokwenda Nitaanza Sasa Kukimbilia Airtel Hata Kwnye Internet Pia, Kwa Sababu Zifuatazo;-
1. Kuna Siku Niliweka Credit Nikawa Naambiwa Kuna Tatizo La Internet Nijaribu Badae, Nikaiacha Umo Pesa Yangu Na Nikazima Simu, Kesho Nakuja Kuwasha Mlikwangua Kama Tsh 500/=
2. Iyo Pesa Ni Kidogo Sana Haikuweza Kunifanya Nipoteze Pesa Nyingi Kuwafata Customer Care Kuwalalmikia, Lakini Sasa Huo Mchezo Umezidi Na Wiki Iliyopita Niliwapigia Simu Lakini Bado, Tafadhal Jirekebishen Kwani Sasa Hivi Wananchi Tunataka Kuchukua Maamuz Magumu.