Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
Mi sihami wala nini ngoja nikomoane nao hadi nione mwisho wake.
Hawa voda wapuuzi,nimenunu kifurushi mitandao yote,bado nina dakika 8 zimebaki,sms 180 na 100mb!natwanga simu nashangaa hata dakika hawajagusa wamekomba salio lililobaki!nimewachoka
Ni upuuzi wa hali ya juu kuona kampuni kama hii inafanya kitu cha ajabu namna hii..! kijana wangu amenunua line ya voda kwa zaidi ya miaka mitano anaitumia, ameisajili kwa jina lake. Ghafla tunaona ile ile namba inaanza kutumiwa na mtu mwingine. Mbaya zaidi ameweza kuaccess m pesa account na kachukua hela zote na bado anaitumia na kapewa na line na vodacom.
Mpaka mahakama kuu na ya rufaa ntafika jiandaeni, meet you in court...!!

sio voda tu mume wangu ametumia tigo line long time kama sio 6/7 years juzi imeanza kupoteza network mara haisomiNi upuuzi wa hali ya juu kuona kampuni kama hii inafanya kitu cha ajabu namna hii..! kijana wangu amenunua line ya voda kwa zaidi ya miaka mitano anaitumia, ameisajili kwa jina lake. Ghafla tunaona ile ile namba inaanza kutumiwa na mtu mwingine. Mbaya zaidi ameweza kuaccess m pesa account na kachukua hela zote na bado anaitumia na kapewa na line na vodacom.
Mpaka mahakama kuu na ya rufaa ntafika jiandaeni, meet you in court...!!
du! kumbe hadi tigo na airtel?sio voda tu mume wangu ametumia tigo line long time kama sio 6/7 years juzi imeanza kupoteza network mara haisomi
kwenda tigo shop wanasema sio line yake akawauliza ya nani wakasema ni ya mtu anaitwa ELIZABE
akawatupia line yao akaondoka akahamia kwingine
hawa voda ,tigo ,zantel na airtel hawajui kuwa kuna
viettel na Smart wamekuja wameshajiona sana subirini
Hawaa jamaa ni wezi sana mkuu mimi mwenyewe washanipiga sana
Nitachangia gharama za mawakili mkuu