Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Habari Gefu, endapo namba hii aliitumia kwa muda kisha akaacha kuitumia kwa zaidi ya miezi 3 namba hufutwa taarifa za awali na pesa yake inatunzwa akaunti maalum ambapo mteja atatakiwa kwenda Vodashop kujaza fomu na atapatiwa pesa kwenye namba mpya atakayokuwa ameijaza katika fomu.

Tunaomba namba ya simu kwa msaada zaidi tafadhali.

eti customer care,mbona mmeongeza gharama za kutuma pesa?!!hv nyie kila siku hampati faida?!!
 
Last edited by a moderator:
Kazi ni kwako

Specification yake hawajanyambulisha huenda uwe huru kuhama au vumilia sisi twala
 
Habari Gefu, endapo namba hii aliitumia kwa muda kisha akaacha kuitumia kwa zaidi ya miezi 3 namba hufutwa taarifa za awali na pesa yake inatunzwa akaunti maalum ambapo mteja atatakiwa kwenda Vodashop kujaza fomu na atapatiwa pesa kwenye namba mpya atakayokuwa ameijaza katika fomu.

Tunaomba namba ya simu kwa msaada zaidi tafadhali.

Mnachagua Post eheee.....
 
Last edited by a moderator:
mnatukana sana, chukua kwanza hatua za kwenda wakalishughulikie hilo tatizo wakulipe... hizi lawama humu hazitosaidia kitu, haya makampuni mbona kwenye kurudisha wanarudisha tu.. errors zipo kampuni zote za simu duniani, kudeal na millions of people at the same time usidhani ni rahisi...
 
Tangu nilipotukanwa na customer care yao, tangu nilipouziwa simu mbovu na vodashop mojawapo yao, na mengine kibao...sina hamu nao hawa watu...wana dharau sana huwezi kudhania!!
 
Mwenyewe niko kwenye situation kama ya kwako,
Ni kwamba hiyo line nilianza kuitumia 2008 na imesajiriwa kwa jina langu since 2009.Cha kusikitisha ni kwamba mwaka Jana mwezi wa 8 ikawa haisomi network lakini jamaa zangu wakinipigia (kwenye line nyingine) wanadai hiyo namba inapatikana lakini anapokea mtu mwingine.

Nilipoamua kwenda VODASHOP Opposite na lango la Nyamagana Stadium(Mza) wakacheki then wakasema ni kweli hiyo namba kapewa mtu mwingine na jina nikatajiwa na sababu ya kufanya hivyo ni kwamba SIKUWA ACTIVE/ONLINE/HEWANI FOR 3MONTHS CONSECUTIVELY!!!
Wakanihakikishia tu kwamba chochote kitakachojitokeza juu ya hiyo namba eg uhalifu mmiliki mpya ndo anayetambulika!!

Kwa kuwa sikuwa na mpunga kwenye M-PESA na wala sikuwa natumia,NILIAMUA KUWAPOTEZEA TU!!!

NB:Nakushauri ukomae nao though it'll take time kupata haki yako!!
 
voda wamewahi kunifanyia hivyo hivyo line yangu ikiwa na 155000 Mpesa. Namba hiyo jamaa walie mpa anaitumia mpaka sasa ni 0755 6..9..90 Namba yangu hiyo inaniuma mno huwa nampigia jamaa anae itumia ninahisi alishirikiana na voda kunipora.
Ilianza kusumbua network baadae ikawa busy muda wote kwa juma zima. Wakadai nilikosea usajiri eti badala ya kuandika leseni ya udereva (kitambulisho) imeandikwa passport. Wakashughulika wakasema baada ya 24hrs. Hali akawa hivyo Kwa mwezi na nusu. Nikaenda kuwafokea voda shop wakareverse 150000 kwa wakala nilipoingizia fedha mara ya mwisho nikaenda kuchukua.
Hivyo nilipoteza sh 5000 na nikapata usumbufu mwingi na mpaka sasa kitendo hicho kinaniuma sana.
 
Hata mimi niliporwa namba kizembe hivyohivyo na inaniuma sana.
Ilianza kusumbua sumbua network hadi nisimame makaburini, nikataka kurenew jamaa wakasema hawana uwezo labda niende Njombe.
Baada ya siku kadhaa najaribu kupiga anaitika mdada wa Iringa, kwa hasira nikamtongoza na akakubali na mpaka sasa ni mchepuko wangu.
Voda hawa! Wameniletea mchepuko.
 
Habari Gefu, endapo namba hii aliitumia kwa muda kisha akaacha kuitumia kwa zaidi ya miezi 3 namba hufutwa taarifa za awali na pesa yake inatunzwa akaunti maalum ambapo mteja atatakiwa kwenda Vodashop kujaza fomu na atapatiwa pesa kwenye namba mpya atakayokuwa ameijaza katika fomu.

Tunaomba namba ya simu kwa msaada zaidi tafadhali.

Enheee...Sikia Mkuu,
Namba yangu pia amepewa mtu mwingine pamoja na kwamba hakukuwa na pesa mule lakini ndio namba niliyokuwa napewa notifications za account zangu za benki.

Hamuoni kwamba mnatupa usumbufu na kutuhatarishia privacy zetu?

Kwa nini msiwe mnatutaarifu hizo taratibu zenu mpya mnapozipitisha instead mnasubiria mpaka tulalamike?

Nawashauri network yenu iwe inapatikana worldwide basi maana kila siku watu wanacross boarders na wanakaa majuu for several months cha kusikitisha mtu mwingine anakuwa ameshapewa line yake na kama ni design ya kina DUDE unategemea nini?

REAL POWER TO US!!! BADILIKENI BHANA EBOOOO.
 
Last edited by a moderator:
Wanafanya ujinga sasa line ukishanunua namba si mali yako kwanini wampe mtu mwingine na kusababisha usumbufu.wakishampa mtu mwingine inamaana watakubadilishia tuu wakupe namba nyingine.sasa hawajui namba ya zamani inatambulika sehemu muhimu..offisin,bank,.huu ni upuuzi.haujatumia miezi mitatu.kama ulienda JKT?
 
Hata mimi niliporwa namba kizembe hivyohivyo na inaniuma sana.
Ilianza kusumbua sumbua network hadi nisimame makaburini, nikataka kurenew jamaa wakasema hawana uwezo labda niende Njombe.
Baada ya siku kadhaa najaribu kupiga anaitika mdada wa Iringa, kwa hasira nikamtongoza na akakubali na mpaka sasa ni mchepuko wangu.
Voda hawa! Wameniletea mchepuko.

Kuwa makini mkuu, Vodacom isije kukuletea na Ukimwi a.k.a Ngwengwe..
 
itafungua njia ya uwajibikaji nchini mwetu
 
Habari Gefu, endapo namba hii aliitumia kwa muda kisha akaacha kuitumia kwa zaidi ya miezi 3 namba hufutwa taarifa za awali na pesa yake inatunzwa akaunti maalum ambapo mteja atatakiwa kwenda Vodashop kujaza fomu na atapatiwa pesa kwenye namba mpya atakayokuwa ameijaza katika fomu.

Tunaomba namba ya simu kwa msaada zaidi tafadhali.

ninanamba yangu ya voda sikuitumia zaidi ya miezi mitano na nilipoiweka kwenye simu inafanya kazi hadi leo!

sababu za kufungia namaba ambayo mmiliki aliisajili na anatumia jina lake ni zipi? mnadhania amekufa? cheti cha kifo mnacho?
mnadhani ameitelekeza, mmejiuliza kuhusu wanaosafiri kwenda mahali mtandao wenu haupatikani?

katika mazingira yote hayo, akiwa kama mteja wenu mlimjulisha kuhusu kusitisha huduma zenu kwake?
 
wachomwe moto hawa voda dawa ni kuhamasisha watu wote tuandamane hadi ofsi zao ni kupiga na kuchoma wote kama viongozi wa deci nairobi walivyotupwa dirishani gorogani wajinga hawa nina hasira nao naibiwa kila siku na nikipiga simu nazungushwa hata kama kosa ni lao hela hairudi shenz.....k......ma..y.
 
teh teh vodacom tanzania njooni mumjibu huyu mdau
 
Back
Top Bottom