Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni upuuzi wa hali ya juu
kuona kampuni kama hii inafanya kitu cha ajabu namna hii..! kijana wangu
amenunua line ya voda kwa zaidi ya miaka mitano anaitumia, ameisajili
kwa jina lake. Ghafla tunaona ile ile namba inaanza kutumiwa na mtu
mwingine. Mbaya zaidi ameweza kuaccess m pesa account na kachukua hela
zote na bado anaitumia na kapewa na line na vodacom.
Mpaka mahakama kuu na ya rufaa ntafika jiandaeni, meet you in
court...!!
mikwara ya kipumbavu hata huko mahakamani utaficha jina lako?
Mhhh kivipi? ingekuwa hivyo si malalamiko yangekuwa mengi sanaYani hawa jamaa vifurushi vya 1000 wao wanakata 1000 na mia..!
Mkuu tuko tayari kwa mapambano elekeza usaidiwe vipi ,nimenuna mbaya wameshatapeli wife hhao kima!Ni upuuzi wa hali ya juu kuona kampuni kama hii inafanya kitu cha ajabu namna hii..! kijana wangu amenunua line ya voda kwa zaidi ya miaka mitano anaitumia, ameisajili kwa jina lake. Ghafla tunaona ile ile namba inaanza kutumiwa na mtu mwingine. Mbaya zaidi ameweza kuaccess m pesa account na kachukua hela zote na bado anaitumia na kapewa na line na vodacom.
Mpaka mahakama kuu na ya rufaa ntafika jiandaeni, meet you in court...!!
Hawaa jamaa ni wezi sana mkuu mimi mwenyewe washanipiga sana
Nitachangia gharama za mawakili mkuu
Ni upuuzi wa hali ya juu kuona kampuni kama hii inafanya kitu cha ajabu namna hii..! kijana wangu amenunua line ya voda kwa zaidi ya miaka mitano anaitumia, ameisajili kwa jina lake. Ghafla tunaona ile ile namba inaanza kutumiwa na mtu mwingine. Mbaya zaidi ameweza kuaccess m pesa account na kachukua hela zote na bado anaitumia na kapewa na line na vodacom.
Mpaka mahakama kuu na ya rufaa ntafika jiandaeni, meet you in court...!!
Hata mimi niliporwa namba kizembe hivyohivyo na inaniuma sana.
Ilianza kusumbua sumbua network hadi nisimame makaburini, nikataka kurenew jamaa wakasema hawana uwezo labda niende Njombe.
Baada ya siku kadhaa najaribu kupiga anaitika mdada wa Iringa, kwa hasira nikamtongoza na akakubali na mpaka sasa ni mchepuko wangu.
Voda hawa! Wameniletea mchepuko.
Hata mimi niliporwa namba kizembe hivyohivyo na inaniuma sana.
Ilianza kusumbua sumbua network hadi nisimame makaburini, nikataka kurenew jamaa wakasema hawana uwezo labda niende Njombe.
Baada ya siku kadhaa najaribu kupiga anaitika mdada wa Iringa, kwa hasira nikamtongoza na akakubali na mpaka sasa ni mchepuko wangu.
Voda hawa! Wameniletea mchepuko.
Jaman voda kila siku bundle yao wanapunguza, leo nmeunga ile ya week (1999) dakika 30 badala ya 35 na 100MB badala ya 125! Nkimaliza bundle yangu narudi nyumbani tigo!
CC Vodacom Tanzania
Nadhani mnajua kuwa huu ni mtandao wenye watu wengi tanzania kwa hiyo wanajua advantage yao sokoni. Kila mtu anaelewa ukisema uwingi kwa watz inaimply kwn v2 vikuu vitatu. 1. ignorance 2. non educated 3. njaa. Popote penye watz kwa wingi ujue v2 hivyo vipo
haya nilikuwa nje ya mtandao. nimerudi, nimesoma maelezo, na nimekuelewa. Kwa nini msibadili mtindo kuleta thamani ya fedha ya watumiaji wa mtandao wenu? huoni kama huo mtego wa kusema dakika 60 unadangaya watu kwa kuwa hakuna kipengele cha kusema LAZIMA UANZIE MWANZONI MWA HIYO SAA?
Kwanini msiweke hiko kipengele kuokoa watu wanaojiamulia kununua hiyo happy hour bila kuangalia kama wamenunu dakika ngapi ndani ya muda?
Wewe Vodacom tanzania hapo bado haujakwepa lawama ya udanganyifu hata kidogo.... Hiyo katika marketing inaitwa Deceptive Advertising, na ni jinai ya kibiashara hivyo. Badilikeni!