FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Weka namba ya tigo pesa hapa tukuchangie pesa ya wakili.., mi binafsi nakerwa sana na hawa wezi watakuja kuzoea. leo kwako kesho kwa mwingine.., pereka kotini hao mbwa..!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio voda tu mume wangu ametumia tigo line long time kama sio 6/7 years juzi imeanza kupoteza network mara haisomi
kwenda tigo shop wanasema sio line yake akawauliza ya nani wakasema ni ya mtu anaitwa ELIZABE
akawatupia line yao akaondoka akahamia kwingine
hawa voda ,tigo ,zantel na airtel hawajui kuwa kuna
viettel na Smart wamekuja wameshajiona sana subirini
Senge sana hawa wapuuzi!ukijiunga Yana kataa then wanapulusa baada ya mda wanakutumia msg huna salio la lutosha!ukijiunga kifurushi kikiisha hawa Ku notify Una shangaa salio lime isha tu!Tigo mbona wana tutaarifu kama Bando yako ime isha???nyambavu kabisa vodacom!!!
Kelele za nini nyie? Si muandamane!!
Duh... komaa nao hao, wamezidi utapeli hao jamaa.
Utapeli wao hauishii kwenye line za simu tu, ukija kwenye vifurushi vya Chekabombastik, hasa hasa kwenye vifurushi vya masaa 24, usishangae ukawa umenunua kifurushi cha masaa 24, baada ya nusu saa tu, na hujaongea na mtu yeyote yule, ukashtukia unapokea meseji ya kukujulisha kuwa kifurushi chako kimeisha muda wake!!
Warudishe basi documents ulizosajilia.Likitokea la kutokea,usitiwe hatiani kama mmiliki wa line husika.du! kumbe hadi tigo na airtel?
ila najua huwa baada inactivity ya miezi 3 system zao huwa zinairudisha line sokoni. ila inatakiwa kama kuna hela wazitunze
Habari Gefu, endapo namba hii aliitumia kwa muda kisha akaacha kuitumia kwa zaidi ya miezi 3 namba hufutwa taarifa za awali na pesa yake inatunzwa akaunti maalum ambapo mteja atatakiwa kwenda Vodashop kujaza fomu na atapatiwa pesa kwenye namba mpya atakayokuwa ameijaza katika fomu.Ni upuuzi wa hali ya juu kuona kampuni kama hii inafanya kitu cha ajabu namna hii..! kijana wangu amenunua line ya voda kwa zaidi ya miaka mitano anaitumia, ameisajili kwa jina lake. Ghafla tunaona ile ile namba inaanza kutumiwa na mtu mwingine. Mbaya zaidi ameweza kuaccess m pesa account na kachukua hela zote na bado anaitumia na kapewa na line na vodacom.
Mpaka mahakama kuu na ya rufaa ntafika jiandaeni, meet you in court...!!
Mmekuja eeeh, safi sana sasa anzeni kujibu hizi shutuma.Habari Gefu, endapo namba hii aliitumia kwa muda kisha akaacha kuitumia kwa zaidi ya miezi 3 namba hufutwa taarifa za awali na pesa yake inatunzwa akaunti maalum ambapo mteja atatakiwa kwenda Vodashop kujaza fomu na atapatiwa pesa kwenye namba mpya atakayokuwa ameijaza katika fomu.
Tunaomba namba ya simu kwa msaada zaidi tafadhali.
Mmekuja eeeh, safi sana sasa anzeni kujibu hizi shutuma.
Habari Gefu, endapo namba hii aliitumia kwa muda kisha akaacha kuitumia kwa zaidi ya miezi 3 namba hufutwa taarifa za awali na pesa yake inatunzwa akaunti maalum ambapo mteja atatakiwa kwenda Vodashop kujaza fomu na atapatiwa pesa kwenye namba mpya atakayokuwa ameijaza katika fomu.
Tunaomba namba ya simu kwa msaada zaidi tafadhali.