Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
Mkuu kwa usalama wa Taifa mimi naona hilo ni jambo la muhimu sana kuwa-tag watu wanaoshukiwa kuhatarisha Taifa letu, mtu kama huna cha kuficha au unaitakia mema Taifa lako kwa nini utumie simu au SMS kuwasiliana na watu wenye walakini? Mbona kuna magazeti na Social Networks ambazo unaweza kusema/kuandika lolote lenye nia ya kujenga na ukaeleweka bila ya kujali kama baadhi ya Viongozi hawatapenda comments zako i.e watakuchukulia kivipi.