mkwezi kidonda
Senior Member
- Mar 20, 2014
- 163
- 32
Kwa wiki nzima nimekuwa nikinunua vifurushi vya Cheka bombastiki lakini Hii imezidi.
Jana nimenunu Kifurushi cha kutosha na sina matumizi ya kukimaliza hata Kwa Siku tano.
Hongera!Umenunua Dakika 400 za kupiga mitandao yote,SMS 1500 mitandao yote TZ na 1024MB zitumike hadi 2014-08-10.Piga *147# kujua salio.
Na Leo mchana wananitumia kwamba kimekwisha.
Ndugu mteja, kifurushi chako cha Cheka kimekwisha. Furahia dk 30 kwa Tsh.495 tu saa 24.Kununua piga *149*01# na chagua Cheka Zogo.
Nimempigia customer care akajitambulisha Kwa jima La Ally hakuwa na msaada wa aina yoyote..
Goodbye Vodacom.
Mmhhhh!!!!! Niliweka buku tatu kwenye modem . Two hrs kwisha . Hata sikitumia.nilishangaa kuambiwa huna salio . nilipokwenda customer care samora wakaniambia hiyo kawaida. Yaani kama nina malalamiko zaidi niende ngazi za juu.