Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Kwa wiki nzima nimekuwa nikinunua vifurushi vya Cheka bombastiki lakini Hii imezidi.
Jana nimenunu Kifurushi cha kutosha na sina matumizi ya kukimaliza hata Kwa Siku tano.

Hongera!Umenunua Dakika 400 za kupiga mitandao yote,SMS 1500 mitandao yote TZ na 1024MB zitumike hadi 2014-08-10.Piga *147# kujua salio.

Na Leo mchana wananitumia kwamba kimekwisha.

Ndugu mteja, kifurushi chako cha Cheka kimekwisha. Furahia dk 30 kwa Tsh.495 tu saa 24.Kununua piga *149*01# na chagua Cheka Zogo.

Nimempigia customer care akajitambulisha Kwa jima La Ally hakuwa na msaada wa aina yoyote..

Goodbye Vodacom.

Mmhhhh!!!!! Niliweka buku tatu kwenye modem . Two hrs kwisha . Hata sikitumia.nilishangaa kuambiwa huna salio . nilipokwenda customer care samora wakaniambia hiyo kawaida. Yaani kama nina malalamiko zaidi niende ngazi za juu.
 
Kumbe tupo wengi...wanatuibia mpaka unawaza hawa watu mbona credit zenyewe zipo bei juu.... Kampuni hizi za simu majanga. Wameridhika na faida wanazopata na kusahau wateja....na hv kuna tcra wataakwambia oh tcra wanatubana
 
Kwwa nini kila siku wanapunguza bundle hawa vodacom....ngoja tuhamie vodacom.
 
Harafu ukinunua internet bundle ya bila kikomo kumbe wanakuweek mb .limit baada ya hizo mb kuisha hata kama umenunua la wiki zikiisha leo basi tena...najiuliza kwa nini wanaweka hii ya bila kiikomo
 
Wamepokea maoni yetu na wameboresha kwa kiwango kikubwa at least wamekuwa wasikivu na wametenda

Mkuu hawa jamaa nishawahama mwaka huu, line yangu ya Voda ilikuwa na tatizo la kutopiga simu ila kupokea simu pamoja na kuandika sms na kutumia net ilikuwa poa, nilihangaika na customer care mpaka nikakata tamaa, siku nikaamua kuwaibukia pale mlimani city, nikawaambia tatizo, mwisho wa siku eti wananiambia niformat simu ndo ina tatizo, sasa nikawa najiuliza kama simu ndo tatizo mbona line za mitandao mingine zinafanya kazi vizuri, kuanzia hapo nikawatema, jana tu dada yangu alikuwa analalamika anasalio la kutosha lakini kila akijaribu kuunga kifurushi anaambiwa hana salio la kutosha
 
Vodacom, kwani wewe unatofauti gani na hao customer cares? Sababu wao hawawezi tatua matatizo ya wateja wenu ok tuambie wewe utawezaje? Mmepewa ushauri wa bure rekebisheni mitambo yenu otherwise tunaona hiyo ni danganya toto. TCRA Mpo? Wengine humo mwa utamani u president but madudu haya no seen nchi hii mwaipeleka wapi?
 
Mi nilishasema hawa jamaa wanatafuta pesa za uchaguzi 2015 wewe unafikiri bila kuiba kwa namna hiyo je watapata hela wapi?
 
nisaidien voda wana nifirisi yaani jana nilikopa 900 leo nimelipa1000 deni lao lakini kila nikiweka vocha wanakata nimeweka hadi 4000 zote wanakata nikijaribu kukopa wanasema lipa mkopo wako wa awali kwanza nimechoka jamani na hawa wezi
 
Habari zimfikie Vodacom Tanzania
 
Last edited by a moderator:
nisaidien voda wana nifirisi yaani jana nilikopa 900 leo nimelipa1000 deni lao lakini kila nikiweka vocha wanakata nimeweka hadi 4000 zote wanakata nikijaribu kukopa wanasema lipa mkopo wako wa awali kwanza nimechoka jamani na hawa wezi

Amia Airtel
 
Kuwakomesha next time kopa kitu kizito then ingia kitaa
 
Tafuta vodashop iliyokaribu na wewe kawashe moto huko wakishakurudishia hela yako waachie laini yako pale
 
Haina maana yoyote kutumia nguvu kubwa ku promote vitu ambavyo hamna uwezo navyo,vodacom akili hamna kabisa japokuwa kuna watu vichwa sana nimesoma nao wako pale inaonesha hamuwatumii,hiv inawezekanje mtu hela yako unanunua salio zaidi ya mara nne haliingii,halaf mna
Jiita mko kazini,si mfukuzwe wote tu,watu wengi huwa wanailaum serikali kwa service mbovu lakin hata hiz taasis nazo hamna kitu,vilaza tu.
 
Hawa wezi wamekuwa wakiniibia MB zangu mara nyingi tu. Nimehamia SMART.....so far so good!
 
Vodocom wanaibiwa sana MPESA ila kwa kuogopa kuchafua jina lao wanakaa kimya na kuamua kulipiza kwa kuumiza wateja wao.
Hapo umenunua haiji, ikija ukijaribu kuunga kifurushi watakuambia mtandao unasumbua ili mradi tu pesa yako iliwe (ikiwa hujazima mobile data), badae wadakuambia huna salio la kutosha kujiunga na kifurushi.
Sasa kma kujiunga mtandao unasumbua, huo mtandao wakati pesa yako inaliwa taratibu unatoka wapi?
 
Back
Top Bottom