Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Kuna tatizo kubwa ambalo ni la hatari kwa Mfumo mzima wa Mpesa, Unatuma fedha kwa bahati mbaya ile hela inaenda kwa mtu mwingine ambae sio mlengwa, na unapopiga simu kwa huduma kwa wateja namba 15000 ambayo unasikilizishwa mziki kwa dakika 10 ndio wanakuhudumia kiasi cha kwamba unakuta ile hela imeshatolewa na huyo mteja ambaye sio muaminifu na matokeo yake unaambiwa endelea kutupigia atakapoweka pesa ndio tutamkata. Fikiria umetuma laki tano alafu inaenda kwa mtu ambae kwa mwezi ela inayowekwa kwenye simu yake aizidi elfu hamsini lini utapata hiyo ela?

Pendekezo ni bora wangeweka kiwango kuanzia laki moja na kuendelea mtu akitumiwa hiyo pesa asiweze kutoa mpaka either dakika 10 au 15 ziwe zimepita ili kuruhusu mtumaji kuweza kuwasiliana na huduma kwa wateja kusitisha muamala endapo alituma hio pesa kimakosa waweze kumsaidia na kuzuia huo muamala usifanyike.

Naomba tujadili
 
Mkuu wazo lako ni nzuri ila ni vizuri ukawa makini wakati unafanya muamala wa kutuma au kutoa pesa.

Ukiwa makini wakati unaingiza namba mara ya kwanza, ukacheki tena kabla ya kuthibitisha muamala utaondokana na matatizo ya aina hiyo.

Epuka kufanya miamala haraka haraka!
 
Mkuu tuko tayari kwa mapambano elekeza usaidiwe vipi ,nimenuna mbaya wameshatapeli wife hhao kima!
...wamekuja kuahidi kurekebisha, nasubiri kauli yao ya mwisho mwanasheria wangu apate pa kuanzia...
 
kitu chochote ambacho kina idadi kubwa ya watz ujue hamna k2. anza na chama cha siasa, kampuni ya cm n.k. tafakari

...mkuu MZAWA JF sikuelewi..! ngoja tukomae nao unajua hiyo namba ipo sehemu nyingi za muhimu kwetu, kama hawataki kuturudishia waifute kabisa kuliko kumpa mtu...
 
Wanasema line ya mtandao wowote ikikaa miezi mi3 bila kutumika wanaiswap na anapewa mtu mwingine. Sijafaham km ndani ya iyo miezi mitatu ikawa na pesa kwenye akaunti za kipesa km m-pesa, airtelmoney au tigopesa huwa wanarefund vp pesa zako. Wenye kuelewa hili watoe maelezo
 
Mi nampango wa kuacha voda wiki hii kweli jamaa wanazingua sana aisee
 
Vodacom Tanzania wanaendesha biashara kihuni sana na sababu kubwa ni hizi outsourcing kwenye ajira yani usimuone mtu kavaa uniform ya vodacom ni shidaaa,tupu
 
Makomredi,

karibu wote mmelipuka kwa jazba mkimtuhumu kuwa mlalamikiwa ni mwizi na ndiyo tabia yake. Safi kabisa. Hata mimi nimejisikia vibaya sana kusikia wengi wetu tunalizwa na wajanja wajanja wasiotaka kufuata taratibu za kibiashara.Lakini Je, wangapi kati yetu tumechukua hatua stahili? Huenda tunapuuzia au hatufahamu nini cha kufanya. Ushauri wangu kwa aliyeporwa namba ni huu:

1. Mkondo wa kisheria wa kushughulikia malalamiko ya kampuni za simu unaanzia TCRA. wapigie simu au ingia kwenye website yao ujaze fomu za malalamiko ukielezea kile kilichotokea. TCRA ana wajibu wa kisheria wa kuchunguza suala hilo, kuwaita wewe na Vodacom, ka kukusaidia haki yako ipatikane. Unaweza kudai namba yako pamoja na malipo ya usumbufu ulioupata wakati namba imeporwa.

2.Ikiwa hutaridhika na namna TCRA wanavyoshughulikia suala lako, basi unakata rufaa Fair Competition Tribunal, ambako watachunguza namna haki yako ilivyobinywa na Voda, na TCRA, na hatimaye utapewa haki yako. Kuna mzee mmoja wa Mtwara mwaka juzi alifanyiwa hivyo hivyo, na hatimaye FCT waliamuru alipwe fidia ya sh milioni 3 hivi.

Twende zaidi ya kulalamika. Huna hata haja ya kuchangisha pesa za wakili mkuu...
 
...mkuu MZAWA JF sikuelewi..! ngoja tukomae nao unajua hiyo namba ipo sehemu nyingi za muhimu kwetu, kama hawataki kuturudishia waifute kabisa kuliko kumpa mtu...

nina maana watz wanapokuwa kwa wingi sehemu sio kipimo kuwa kina ufanisi. wapime wa tz kwn elimika na kutoelimika wapi ni wengi?mfano mwingne tena huo
 
Wakuu, wiki iliyopita niliweka uzi humu kuhusu kijana wangu kutapeliwa kwenye huduma ya Mpesa na mtu mmoja wmenye line ya vodacom. Watu walinishambulia kweli kwamba kijana wangu ni mzembe. sawa. Lakini point ilikuwa tuliwasiliana na vodacom huduma kwa wateja wakwatwambia namba husika imefungiwa, lakini wakadai bado inaweza ku-transact huduma ya Mpesa!!!!. Kwa nini???. Na ilikuwaje wakaifungia????
 
Makomredi,

karibu wote mmelipuka kwa jazba mkimtuhumu kuwa mlalamikiwa ni mwizi na ndiyo tabia yake. Safi kabisa. Hata mimi nimejisikia vibaya sana kusikia wengi wetu tunalizwa na wajanja wajanja wasiotaka kufuata taratibu za kibiashara.Lakini Je, wangapi kati yetu tumechukua hatua stahili? Huenda tunapuuzia au hatufahamu nini cha kufanya. Ushauri wangu kwa aliyeporwa namba ni huu:

1. Mkondo wa kisheria wa kushughulikia malalamiko ya kampuni za simu unaanzia TCRA. wapigie simu au ingia kwenye website yao ujaze fomu za malalamiko ukielezea kile kilichotokea. TCRA ana wajibu wa kisheria wa kuchunguza suala hilo, kuwaita wewe na Vodacom, ka kukusaidia haki yako ipatikane. Unaweza kudai namba yako pamoja na malipo ya usumbufu ulioupata wakati namba imeporwa.

2.Ikiwa hutaridhika na namna TCRA wanavyoshughulikia suala lako, basi unakata rufaa Fair Competition Tribunal, ambako watachunguza namna haki yako ilivyobinywa na Voda, na TCRA, na hatimaye utapewa haki yako. Kuna mzee mmoja wa Mtwara mwaka juzi alifanyiwa hivyo hivyo, na hatimaye FCT waliamuru alipwe fidia ya sh milioni 3 hivi.

Twende zaidi ya kulalamika. Huna hata haja ya kuchangisha pesa za wakili mkuu...

...pamoja mkuu, kitendo bila kuchelewa, nimesubiri jibu la hao voda mpaka sasa sioni kitu, nimewapa namba hawanipi anyupdates, ngoja ni escalate hii ishu kwa TCRA...
 
...wamekuja kuahidi kurekebisha, nasubiri kauli yao ya mwisho mwanasheria wangu apate pa kuanzia...
That good,just know that we are ready to set an example so that this shall never happen again in future!
 
Kuna tatizo kubwa ambalo ni la hatari kwa Mfumo mzima wa Mpesa, Unatuma fedha kwa bahati mbaya ile hela inaenda kwa mtu mwingine ambae sio mlengwa, na unapopiga simu kwa huduma kwa wateja namba 15000 ambayo unasikilizishwa mziki kwa dakika 10 ndio wanakuhudumia kiasi cha kwamba unakuta ile hela imeshatolewa na huyo mteja ambaye sio muaminifu na matokeo yake unaambiwa endelea kutupigia atakapoweka pesa ndio tutamkata. Fikiria umetuma laki tano alafu inaenda kwa mtu ambae kwa mwezi ela inayowekwa kwenye simu yake aizidi elfu hamsini lini utapata hiyo ela?

Pendekezo ni bora wangeweka kiwango kuanzia laki moja na kuendelea mtu akitumiwa hiyo pesa asiweze kutoa mpaka either dakika 10 au 15 ziwe zimepita ili kuruhusu mtumaji kuweza kuwasiliana na huduma kwa wateja kusitisha muamala endapo alituma hio pesa kimakosa waweze kumsaidia na kuzuia huo muamala usifanyike.

Naomba tujadili

Habari kenethedmund tunapenda kukukumbusha kuhakiki jina la mpokeaji kabla hujathibitisha kutuma pesa ili kuepukana na makosa yanayoweza kujitokeza. Ahsante
 
Last edited by a moderator:
Wazo lako ni zuri sana.

Kwa pesa kuanzia 100,000 wangefanya 1 hour kabla hazijatolewa.
 
Key board imeteleza au unamaanisha utachangia mawazo maana mie ndio mkusanyaji wa hela za wakili, kwa ujumla jamaa wasanii hawa alafu ukiwaendea wanachulia simple kabisa line yako amepewa mtu mwingine ingia hapo andikisha line nyingine. Alafu vitu vingine si lazima kwenda mahakamani ifike mahala serikali itusimamie kwa kuweka dawati maalumu za case hizi kujadiliwa na watu maamlumu kisha wanafanya maamuzi maana na mahakama zetu milolongo kibao ukichanganya na wakili wetu kupenda kuangalia weakness point wakati wa kufungua madai na kuikomalia ili mradi siku ziende na wewe ukate tamaa
Kwa mawazo kama haya tutaendelea kuibiwa na kunyanyaswa.
Haya ni mawazo ya mtu primitive. Huwezi kuwa umedhulumiwa halafu uje na mawazo barafu kama haya halafu useme utapata stahili yako.
Rudi darasani
 
umefikia wapi mkuu tupe feedback,na ukikwama nambie ntakusuport kutokomeza upuuzi wa aina hii
 
Habari Gefu, endapo namba hii aliitumia kwa muda kisha akaacha kuitumia kwa zaidi ya miezi 3 namba hufutwa taarifa za awali na pesa yake inatunzwa akaunti maalum ambapo mteja atatakiwa kwenda Vodashop kujaza fomu na atapatiwa pesa kwenye namba mpya atakayokuwa ameijaza katika fomu.

Tunaomba namba ya simu kwa msaada zaidi tafadhali.

Kuna tatzo jingine zaid hata ya hili. wafanyakazi wa customer care nao ni janga. Unaripoti tatizo lakini jibu utakalopewa hata mtu wa mtaani hatoi jibu kama hilo
 
Mm nimenunua kifurushi cha voda - voda leo saa 9, nikapiga cmu 2. Moja niliongea sekunde 14 na ya pili niliongea dk 3 na sekunde 38: Nilipokata cmu nikatumiwa ujumbe
"kifurushi chako cha voda - vodqa kimeisha, asante kwa kuchagua vodacom".

Csemi chochote kuhofia ban!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom