Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Tumia tgo au halotel hutajutia,angaria eneo lako ulipo,mara nyingi palipo na mtandao mzuri wa voda na halotel nao wako vizuri sana,utapata gb 1 kwa wiki,na mb 500/ kwa jero lako kwa siku dk na sms.

Vodacom ni ya msafara wa raisi na wengine ,nyie mlio nje ya huo msafara kaeni pembeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
usikekuwa unataka tujiunge kwa njia isiyo na ridhaa[emoji23][emoji23][emoji23].

mara paaap,karibu ndugu mkorinto tunafurahi kupata member mpya,ukijitoa tunakubaka[emoji2088][emoji2088][emoji2088]
 
Mkuu natamani sana kuuhama huu mtandao wa Voda ila nna changamoto moja kubwa sana
1. Sipendi simu za laini 2
2. Sitaki kubadilisha namba ya simu
3. Sipendi kutembea na simu mbili
 
usikekuwa unataka tujiunge kwa njia isiyo na ridhaa[emoji23][emoji23][emoji23].

mara paaap,karibu ndugu mkorinto tunafurahi kupata member mpya,ukijitoa tunakubaka[emoji2088][emoji2088][emoji2088]
[emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Mi ni
Mteja wao mkubwa sana Kwa
Miaka mingi sana ndani Miaka hii Mitatu ya mwisho vocha ya dakika 40 inaisha dakika 20 muliangalie hilo Kwa ni Njema tu Kwa Kweli tusaidiane sote tusonge mbele Ndugu zangu unapopiga Simu una tatizo unasubiria muda Mrefu wakikutangazia huduma Zao

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom