if cap fits
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 1,461
- 2,062
Tumia tgo au halotel hutajutia,angaria eneo lako ulipo,mara nyingi palipo na mtandao mzuri wa voda na halotel nao wako vizuri sana,utapata gb 1 kwa wiki,na mb 500/ kwa jero lako kwa siku dk na sms.
Vodacom ni ya msafara wa raisi na wengine ,nyie mlio nje ya huo msafara kaeni pembeni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vodacom ni ya msafara wa raisi na wengine ,nyie mlio nje ya huo msafara kaeni pembeni.
Sent using Jamii Forums mobile app