masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Kuna mtoa mada anasema Voda wameamka sasa, haelezi nani kawaamsha .Nieona hii katika ukurasa wa habari mchanganyiko.
Hakuna kitu kama hicho!!!
Ile hela ambayo naamini wameichota toka talk time account yangu(elfu ishirini) wala haijarudishwa hadi leo hii , licha ya bla bla nyingi zisizo na msingi toka kwa staff wao.
Tatizo lao wanafikiri wote ni ma-laymen wa mitandao, hivyo kuibiwa at will.
Hapo unawekewa offer kama za hapo juu ambazo ni kama mwanga kwa kumbi kumbi ili muwe wengi wawachote kwa urahisi!
Inaelekea tu ni marketing gimmicks za Voda yenyewe baada ya kukabiliwa na bad press ya matukio ya wizi yanayolalamikiwa na wengi.