Vodacom Tanzania yadaiwa kutowalipa mawakala wake wa huduma ya kifedha(M-Pesa) kamisheni zao

Acha uongo chief mbali ya kuwa ni dhambi pia unawahadaa watu waingie kwenye biashara hii ya kipuuzi. Miamala 90 kwa Sikh upate kamisheni ya milioni? Wakala mkuu anakuangalia tu? Labda sio mitandao ya tz.
 
Na wewe usiwe mjinga,aliyekuambia wakala mkuu anapanga commission ni nani!?? Commission unalipwa na kampuni ya simu moja kwa moja. Na kwenye hilo,wakala mkuu hana hata ushauri. Halafu hii ni biashara km biashara zingine tu,hulazimishwi kufanya. Mimi hiyo ni kazi,naendesha maisha. Na km unataka kuamini na kujifunza hii biashara inalipa njoo pm me nakupa number yangu,uje ofisini hata sasa hivi km unaishi dar. Mimi nauli nitakupa 10 elf ili uje hapa useme ukweli. Mkuu unapofungua biashara yoyote,lazima uzingatie location,kwamba hilo eneo hiyo bidhaa inahitajika! Wewe unashangaa mimi kupata milioni!?? Mwaka 2013 niliwahi kupata milioni 3 na laki 1 kwa mtaji wa laki 6. Hapo ilikuwa kabla hatujaanza kukatwa kodi ya zuio.
 
Acha urongo wa mchana kweupe
 
Kamisheni million 3 kwa mtaji wa Laki 6?
 
All the best kwa waliopata millions, I was doing this chuo.

Miamala Kama yote ila mwisho wa mwezi sikuwahi kutoboa 150,000/-

Kuna mtu alinishauri ninunue mashine ya selcom sema sikupataga maelezo clear.
 
uwakala ni biashara nzuri kama una wateja, hela yako muda wote unakuwa nayo cash, mtaji laki 2 unaweza kufanya miamala hata ya milioni 50
 
Kamisheni million 3 kwa mtaji wa Laki 6?
Hivi nyinyi mnaijua hii biashara kweli!?? Hivi unashindwaje kupata hiyo milioni 3 km wateja wanakuja!?? Laki 6 ni mtaji mkubwa sana kwenye hiyo biashara. Muhimu ni wingi wa wateja. Hizo hela zinazozunguka ni za wateja. Unaweza kulala bila cash pesa yote ipo kwenye simu,lkn unafungua tu anakuja mteja kuweka laki 3,hiyo laki 3 cash na kwenye simu ina maana una laki 3. Wateja hawaji wa aina moja,watakuja wa kutoa na kuweka! Ambaye haamini km upo hapa dar,njoo pm uje ofisini nafunga saa 2. Ntakupa nauli elfu 10.
 
Bora hata unisaidie mkuu. Wateja km ni wengi mtaji wa laki 2 unaweza kukupa hata milioni. Maana wateja hawaji wa aina moja!
uwakala ni biashara nzuri kama una wateja, hela yako muda wote unakuwa nayo cash, mtaji laki 2 unaweza kufanya miamala hata ya milioni 50
 
Safi sana mkuu...
 
Safi sana mkuu...
Watu ni wajinga,anafanya miamala 300 kwa mwezi halafu anataka apate milioni. Mimi maisha yangu yapo kwenye hii biashara tangu mwaka 2011. Na sisi ni mawakala wa mwanzo kabisa na tulipewa laini bure na mtaji wa laki 3. Wakati Tigopesa ndo inaanza!
 
Duu noma sana
 
acheni uongo wa kishetani nyie wakala wakuu hamnaga kitu kama hiyo
 
Matusi tena chief? Mi pia nabiashara hizi zaidi ya moja huna la kunidanganya. Wadanganye wasojua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…