Lutandagula
JF-Expert Member
- Apr 8, 2018
- 1,762
- 2,154
Duuh mamaee[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Ofisi yako ipo wapi?Bora hata unisaidie mkuu. Wateja km ni wengi mtaji wa laki 2 unaweza kukupa hata milioni. Maana wateja hawaji wa aina moja!
Na ndo maana upo hapa kulalamika..kumbe nabishana na mtu mwenye uelewa mdogo sana! Unajua maana ya neno mjinga!?? Ujinga ni ignorance..ujinga ni kutojua na wewe kweli hujui lkn hata kujifunza hutaki! Hii ni comment yangu ya mwisho,sitaku-quat tena. Me nilikurahisishia km upo dar,njoo ofisini na ntakupa elf 10 km nauli uje uone watu tunavyofanyakazi. Hiyo nyumba unaiona kwenye avatar yangu imetoka kwenye biashara hiyo. Hiyo ni nyumba ya vyumba 3 na imekamilika kila kitu na nimepangisha kwa laki 4 na nusu nyumba nzima..wewe kaa kulalamika!!Matusi tena chief? Mi pia nabiashara hizi zaidi ya moja huna la kunidanganya. Wadanganye wasojua.
TandikaOfisi yako ipo wapi?
Mkuu na usirudi tena ikiwezekana ufie huko huko kabisa. Kila mtu akiweka anachomiliki kwenye avatar saver haitatosha Muhaya wewe. Unatishia kutokujibu ? Acha nyodo Dada. Hiyo elfu wanunulie vitabu wadogo zakoNa ndo maana upo hapa kulalamika..kumbe nabishana na mtu mwenye uelewa mdogo sana! Unajua maana ya neno mjinga!?? Ujinga ni ignorance..ujinga ni kutojua na wewe kweli hujui lkn hata kujifunza hutaki! Hii ni comment yangu ya mwisho,sitaku-quat tena. Me nilikurahisishia km upo dar,njoo ofisini na ntakupa elf 10 km nauli uje uone watu tunavyofanyakazi. Hiyo nyumba unaiona kwenye avatar yangu imetoka kwenye biashara hiyo. Hiyo ni nyumba ya vyumba 3 na imekamilika kila kitu na nimepangisha kwa laki 4 na nusu nyumba nzima..wewe kaa kulalamika!!
Truth is rare.Umenena mkuu. Kuna pimbi humu anadanganya eti alipata kamisheni ya 3m kwa kizungusha laki 6.
Mkuu tufahamishe mtu akiweka laki mbili wakala anapata commission sh ngapi? Na je kutoa laki mbili wakala anapata commission ya kiasi gani pia?Hivi nyinyi mnaijua hii biashara kweli!?? Hivi unashindwaje kupata hiyo milioni 3 km wateja wanakuja!?? Laki 6 ni mtaji mkubwa sana kwenye hiyo biashara. Muhimu ni wingi wa wateja. Hizo hela zinazozunguka ni za wateja. Unaweza kulala bila cash pesa yote ipo kwenye simu,lkn unafungua tu anakuja mteja kuweka laki 3,hiyo laki 3 cash na kwenye simu ina maana una laki 3. Wateja hawaji wa aina moja,watakuja wa kutoa na kuweka! Ambaye haamini km upo hapa dar,njoo pm uje ofisini nafunga saa 2. Ntakupa nauli elfu 10.
Miaka ya Nyuma hii biashara ilikuwa nzur lakin hawa jamaa wa mitandao waka punguza Commision
Tena kama Voda ndio waseng** zaidi.. Mtu unalipwa na cent yaa .85 ni ufala basi
Natamani nitume kamisheni zangu MzioneAcha kuingiza watu mkenge kwa maslahi yako. Hiyo ni biashara ya kitumwa kabisa. Unaweza niambia kazi ya wakala mkuu kwa wakala mdogo ni ipi ? Na kwa mini kamisheni yake nikubwa kuliko ya wakala mdogo ambae ndie anatafuta wateja na kurisk pesa zake?
Utakuwa chuma ulete wewe siyo bure!Na wewe usiwe mjinga,aliyekuambia wakala mkuu anapanga commission ni nani!?? Commission unalipwa na kampuni ya simu moja kwa moja. Na kwenye hilo,wakala mkuu hana hata ushauri. Halafu hii ni biashara km biashara zingine tu,hulazimishwi kufanya. Mimi hiyo ni kazi,naendesha maisha. Na km unataka kuamini na kujifunza hii biashara inalipa njoo pm me nakupa number yangu,uje ofisini hata sasa hivi km unaishi dar. Mimi nauli nitakupa 10 elf ili uje hapa useme ukweli. Mkuu unapofungua biashara yoyote,lazima uzingatie location,kwamba hilo eneo hiyo bidhaa inahitajika! Wewe unashangaa mimi kupata milioni!?? Mwaka 2013 niliwahi kupata milioni 3 na laki 1 kwa mtaji wa laki 6. Hapo ilikuwa kabla hatujaanza kukatwa kodi ya zuio.
TumaNatamani nitume kamisheni zangu Mzione
Utakuwa chuma ulete wewe siyo bure!
MhNilifanya miamala ya 33,000,000. Nikalipwa 420,000. Noma .
Tatizo wewe unakuwa na wivu bila hata kujua kile anachopata unayemuonea wivu. Wakala mkuu anapata 20% ya commission yako wewe. Yaani wewe ukipata laki 1 baada ya kodi ya zuio,wakala mkuu anapata elf 20. Kwa hiyo wakala mkuu anapata km nyie mawakala wake pia mnapata. Msipende kulalamika sana,hii biashara unaweza kuwa na mtaji wa milioni 1 km upo eneo lenye mzunguko Mkubwa wa watu,hiyo milioni inaweza kukuletea zaidi ya milioni kwa mwezi. Hizi biashara zinategemea mzunguko yaani uwe na wateja wa kufanya. Mm nna wastani wa kufanya miamala 90 mpaka 120 kwa siku kwenye tigo. Voda nafanya miamala 25 hadi 40 kwa siku. Airtel 15 hadi 35. Comission,tigo napata laki 9 hadi 1ml. Voda laki 2 na Airtel laki 1 na 20. Mtaji wangu ni milioni moja na nusu. Hebu niambie biashara nyingine ambayo unaweza kupata hiyo faida kwa huo mtaji.
Kamisheni million 3 kwa mtaji wa Laki 6?